Harrier zipo nyingi tu za cc 3000 engine 1MZ FE na cc 35000 engine 2GR FE.Tofauti kabisa mark X ni engine kubwa 2.5- 3000 tofauti kabisa na harrier
Jr[emoji769]
[emoji120][emoji120][emoji120]Harrier zipo nyingi tu za cc 3000 engine 1MZ FE na cc 35000 engine 2GR FE.
hizo kitu haswa yenye permanent FWD ni habari ingine.
Top spec zake ni Lexus version za Ulaya au Singapore RX 300 na RX 350 toleo la 2004 hadi 2009.
Control engine ilipata shida likawa linajipiga starter lenyewe mkuu, lingenikanyaga watoto naishi mazingira yenye watoto wadogo wengi mno
Kweli mkuu,Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani
Hizo gari ukizidisha mwendo sana speed 150 tena uwe mwangalifu sanaaaWewe unajua unachoongea. Sasa vijana wanaburuza hizo Harrier kama Crown Athlete au GX110 matokeo yake zinawamwaga.
Fortuner...ule mnyama umeenda shule nao!
Kabisa mkuu...gari zuri mwonekano but very fragile!Body karatasi..ukipata mzinga..itabd umuite fundi viatu akushonee
Ndo hivyoHii ndy kwanza naskia kwako......"Tanzania gari zina gender"
Kuna ile gari ilitengenezwa na jeshi enzi hizo iliitwa nyumbuIna maana sisi wabongo uwezo wetu umeishia kuyapa magari nick names. Hatuna kabisa mpango au uwezo wa kutengeneza magari ya kwetu na kuyapa majina ya kikwetu ?
Nyepesi mno zikiwa mwendokasi mkubwaLeo ndo nimehua maana ya vvt-i
Mshana funguka na hizo Alphard kwanini ziwe kwenye orodha ya ajali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyepesi mno zikiwa mwendokasi mkubwaLeo ndo nimehua maana ya vvt-i
Mshana funguka na hizo Alphard kwanini ziwe kwenye orodha ya ajali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyepesi mno zikiwa mwendokasi mkubwaLeo ndo nimehua maana ya vvt-i
Mshana funguka na hizo Alphard kwanini ziwe kwenye orodha ya ajali?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nasukuma hii... Sijawahi kujuta... Nawanyanyapaa highway wenye mashine zao.. Hii ni Volvo V40 kubwaView attachment 1048929Nishaendesha gari nyingi kwa masafa ya mbali na full kibati,ikiwemo crown athlete na altezza,katika zote huyu mnyama subaru legacy twin turbo ndie ananikosha zaidiView attachment 1048911
Mkuu gari gani hii? tuma full pic kama ipo!Mimi nasukuma hii... Sijawahi kujuta... Nawanyanyapaa highway wenye mashine zao.. Hii ni Volvo V40 kubwaView attachment 1048929View attachment 1048930
Jr[emoji769]
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima