Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Tofauti kabisa mark X ni engine kubwa 2.5- 3000 tofauti kabisa na harrier

Jr[emoji769]
Harrier zipo nyingi tu za cc 3000 engine 1MZ FE na cc 35000 engine 2GR FE.
hizo kitu haswa yenye permanent 4WD ni habari ingine.
Top spec zake ni Lexus version za Ulaya au Singapore RX 300 na RX 350 toleo la 2004 hadi 2009.
 
Harrier zipo nyingi tu za cc 3000 engine 1MZ FE na cc 35000 engine 2GR FE.
hizo kitu haswa yenye permanent FWD ni habari ingine.
Top spec zake ni Lexus version za Ulaya au Singapore RX 300 na RX 350 toleo la 2004 hadi 2009.
[emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani
Kweli mkuu,
Nilienda mkoa na harrier old model yaan speed ikishapita 120 unaliskia kabisa linakimbia hadi unaogopa,
Ila gx100 au 110 unamaliza kisahani lkn unaona upo mwendo wa kawaida tu, yaan ruti ndefu siwezi enda na gari kubwa kwa kweli najionea kero saana maana mimi mbio ndio falsafa yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishaendesha gari nyingi kwa masafa ya mbali na full kibati,ikiwemo crown athlete na altezza,katika zote huyu mnyama subaru legacy twin turbo ndie ananikosha zaidi
Screenshot_20190319-103714.jpeg
 
umeongea mengi sana..! Ila kwenye speed hakuna kitu mkuu! Kwanza nyingi ni four cylinder kama sio zote..! Hivyo usitarajie speed kwenye gari za four labda iwe na turbo..!

Mafuta bado zinakunywa tu, sema huwezi linganisha na zile za 6 cylinder
 
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima

hhahaha! sasa hebu tuambie, wewe ilikushinda mafuta ama hiyo spidi?
 
Back
Top Bottom