Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Duu million 6 ungenistua mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm sikukubali labda Old Model ya 1999 - 2002 mbovu na ikiwa mpya Nchini ex Japan ni 14m
lakini matako ya nyani bei ya chini 18m mwenye haraka hata km gea zinapandana
kuna jamaa kidogo abambikwe Body la kuchonga wali modified hapo nyuma wakamwambia 10m
 
Shikamoo madalali

Jr[emoji769]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tafuta na hili tako la nyani,ukiyaweka pamoja,yanajichaj na kupunguziana mafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
faini zote za magari haya ni overspeed issue,yani ukiwa ndani ya gari unaona gari kama haitembei ila aliyeko nje ndo atakusimulia magori.
 
Ujana mwingi. Watu wanaendesha SUV kama salon car. Ndio maana wanalalamika linatumia mafuta saana.
 
Ujana mwingi. Watu wanaendesha SUV kama salon car. Ndio maana wanalalamika linatumia mafuta saana.
Na uelewa pia.. Wengi hawaendi driving school na hao wanaoenda wanaenda zile za vichochoroni

Jr[emoji769]
 
Inategemea gari imetengenezwa nchi gani. Gari za Ulaya na Marekani ukiwa kwenye 130kph ni mwendo wa kawaida, tatizo magari ya Asia kama Japan ukiwa kwenye 130kph na zaidi hapo mwenyewe unaona gari linakimbia sana na zaidi inakulazimu ushikilie usukani kwa nguvu tofauti na magari kutoka Ulaya na Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezikuta leo kama 6 hivi garage moja ya wachina DarView attachment 1052319View attachment 1052320View attachment 1052321

Jr[emoji769]
Ya hii kutokana kuwa ndio gari inayopendwa sana na wabongo Road zimejaaa mikoa yote ukienda unakutana nazo kwa wingi......


ukiangalia Report za magari Toyota harrier imeshika namba 2 huku namba 1 ikishikiliwa na Toyota IST..... Kwa kununukia kwa wingi.

Social>

Hizi Gari Comfortable sana.....


Hii gari ikiwa kwenye Foleni usipo kuwa makini unaweza kugonga.....inachanganya haraka sana......
 

Attachments

  • safari_automotive_5___BvVtjWnj-kt___.jpeg
    107.3 KB · Views: 42
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…