RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna gari zinachanganya haraka. Kuna siku nilitoka pale Terminal one hadi nafika hapo jet nina 160kph(wakati huo hapo hamna traffic lights) ilikuwa usiku naendesha Verossa.Weeeeee Tz hii hii !?? Barabara gani!?Ya kutoka wapi kwenda wapi!??? Na jamaa wa kukubetisha vikaratasi vya overspeed kwa tsh 30000 fine bill wapo wapi wakat wewe unatembea 200km/h????View attachment 1058575View attachment 1058577
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ingine nimetoka mataa ya chang'ombe hadi nafika hapo Sigara nina 160kph. Ukipata sehemu imenyooka km 2-3 gari nzuri za Europe 200kph sio issue