Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 970
- 1,323
Sio kila kitu hela inaweza kununua Mkuu! Na pia sio kila mwenye concern ana tatizo la hela![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole dingilai kwa kuzinguliwa...
Binafsi ni kuambie dunia ya sasa ya utandawazi hakuna chochote kinachozingua kama una hela....
Ila kama huna hela hata vitz old model utaiona ni jini.....Wengi wanahofia spea za hayo magari.
Kama umejipanga vuta chombo....
Watanzania tuna mentality moja mbaya sana na inatudumaza...
Inashangaza mtu anaingia mtandaoni anaagiza gari kwa milioni za hela....ikizingua spea ya laki tano ikakosekana madukana...akili inaziba katika suala la kuagiza..
Sijui tunakwama wapi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu ni value for money ndo mana watu wanapata concern!
Ndo mana wanasema kuuliza sio ujinga!