Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Singapo kwa mtazamo wangu magari karibu yote yapo na ubora wa hali ya juu..Ila Mkuu kati ya Japan na Singapore wapi unaona ni quality zaidi maoni yako ?
Ukiagizia kutoka Japan million 20 hadi Bongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1058794Hivi wenyewe waliotengeneza wanajua kama gari yao Tunaita hivi kweli!! Ila watuvumilie tu,hatuna njia ya kutangaza Mbuga zetu za wanyama.....
[emoji12][emoji12][emoji12]Jamaa atakuwa anatembea na tochi yake kupima magari anayoyapita.
Asante MkuuSingapo kwa mtazamo wangu magari karibu yote yapo na ubora wa hali ya juu..
Japani wamegusa kila mtu...yaani wana magari ya bei rahisi sana ila yana mileage kubwa na vile vile wana magari yenye ubora ule wa singapore na pengine kuzidi Singapore
Sent using Jamii Forums mobile app
Hukunipa info Mkuu.Sorry nilizinguaje? Kwa matumizi ya gari new model halisi bongo bado sana....
Jr[emoji769]
Kwa bongo bado ni mpya sana hiyo.... Anyway sio gari mbaya kama utazingatia masharti ya kumiliki gari za class hiyo....Hukunipa info Mkuu.
Una mana gani kusema matumizi ya gari new model halisi bongo bado sana? Yani f10 ya 2013 ni new model? Si kuna G30?
Asante Mkuu.Kwa bongo bado ni mpya sana hiyo.... Anyway sio gari mbaya kama utazingatia masharti ya kumiliki gari za class hiyo....
Sana sana zingatia
. lubricants hakikisha unaweka genuine
. fuel chagua station zenye viwango
. service tumia vitu original
. nknk
Jr[emoji769]
Hapana kabisa BMW ni gari reliable trust me tofauti kabisa na gari za mkorea au mchina na baadhi za mjep.. Utaifurahia gari yako na changamoto utazisikia kwa wengineAsante Mkuu.
So u mean ukizingatia masharti ya umiliki kama ulivoainisha hapo juu....
Gari kama gari halizingui kwa ishu zingine ambazo sio uzembe wa mmiliki?
Mana kuna gari zingine naturally zina matatizo tayari sio reliable hiyo ndio hofu yangu....
Tupoa pamoja mkuu nitakueletea mrejesho sema kwa kukadiria tu...520i service yake kubwa ya kawaida tu inaweza kucost how much kwa wastani? Na ni baada ya muda gani au km ngapi (wastani)?Hapana kabisa BMW ni gari reliable trust me tofauti kabisa na gari za mkorea au mchina na baadhi za mjep.. Utaifurahia gari yako na changamoto utazisikia kwa wengine
Jr[emoji769]
C I F tu ML.12 ?? Unajua unacho kiongea?Gari gani hiyo? Kama ni harrier ambayo inazungumziwa kwenye topic, si kweli, mana ushuru tu peke yake si chini ya 12m, CIF yake ni 6000$-8000$ kutegemea na year of manufacturing! Hiyo Labda ni harrier old model tena yenye engine ya 5s sy vvti.