Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

1058794
Hivi wenyewe waliotengeneza wanajua kama gari yao Tunaita hivi kweli!! Ila watuvumilie tu,hatuna njia ya kutangaza Mbuga zetu za wanyama.....
 
Huyasikii yakipiga mzinga wapi? I mean hapa Tz au duniani kote? Kama ni hapa Tz , huyaskii yakipiga mzinga sababu yapo machache mnoooo, sasa utaskiaje? Katika magari 100 yanayopita barabarani 10 au 15 tu huenda yakawa ni hayo ya Europe, logically lzm usiyaskie, kwa taarifa yako hayo hayo unayoyasifia hayapati ajali, Ulaya yanawamwaga watu kama kawaida. Muhimu la kujua... gari liheshimu likuheshimu, ulileta u much know linakubidua kweli.
 
Ila Mkuu kati ya Japan na Singapore wapi unaona ni quality zaidi maoni yako ?
Singapo kwa mtazamo wangu magari karibu yote yapo na ubora wa hali ya juu..
Japani wamegusa kila mtu...yaani wana magari ya bei rahisi sana ila yana mileage kubwa na vile vile wana magari yenye ubora ule wa singapore na pengine kuzidi Singapore

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari gani hiyo? Kama ni harrier ambayo inazungumziwa kwenye topic, si kweli, mana ushuru tu peke yake si chini ya 12m, CIF yake ni 6000$-8000$ kutegemea na year of manufacturing! Hiyo Labda ni harrier old model tena yenye engine ya 5s sy vvti.
Ukiagizia kutoka Japan million 20 hadi Bongo
 
Mkuu nilikuuliza kuhusu BMW 5 SERIES F10 520i ya mwaka 2013 ukazingua kishenzi.

Anyway, vp zinafaa kibongo bongo ama tustick na 3 ??
Sorry nilizinguaje? Kwa matumizi ya gari new model halisi bongo bado sana....

Jr[emoji769]
 
Hukunipa info Mkuu.

Una mana gani kusema matumizi ya gari new model halisi bongo bado sana? Yani f10 ya 2013 ni new model? Si kuna G30?
Kwa bongo bado ni mpya sana hiyo.... Anyway sio gari mbaya kama utazingatia masharti ya kumiliki gari za class hiyo....
Sana sana zingatia
. lubricants hakikisha unaweka genuine
. fuel chagua station zenye viwango
. service tumia vitu original
. nknk

Asante Mkuu.

So u mean ukizingatia masharti ya umiliki kama ulivoainisha hapo juu....

Gari kama gari halizingui kwa ishu zingine ambazo sio uzembe wa mmiliki?

Mana kuna gari zingine naturally zina matatizo tayari sio reliable hiyo ndio hofu yangu....
 
Hapana kabisa BMW ni gari reliable trust me tofauti kabisa na gari za mkorea au mchina na baadhi za mjep.. Utaifurahia gari yako na changamoto utazisikia kwa wengine

Jr[emoji769]
 
Hapana kabisa BMW ni gari reliable trust me tofauti kabisa na gari za mkorea au mchina na baadhi za mjep.. Utaifurahia gari yako na changamoto utazisikia kwa wengine

Jr[emoji769]
Tupoa pamoja mkuu nitakueletea mrejesho sema kwa kukadiria tu...520i service yake kubwa ya kawaida tu inaweza kucost how much kwa wastani? Na ni baada ya muda gani au km ngapi (wastani)?
 
Gari gani hiyo? Kama ni harrier ambayo inazungumziwa kwenye topic, si kweli, mana ushuru tu peke yake si chini ya 12m, CIF yake ni 6000$-8000$ kutegemea na year of manufacturing! Hiyo Labda ni harrier old model tena yenye engine ya 5s sy vvti.
C I F tu ML.12 ?? Unajua unacho kiongea?

IMG_20190331_162446_096.jpeg
 
Hoja yako ni nini haswa? Mana naona kama wewe ndy unajichanganya.
 
Back
Top Bottom