Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Nadhani utamu wake umekolezwa na neno TAKO! [emoji87][emoji85][emoji848][emoji144]nimewaza tu kwa sauti[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Hazitulii barabarani...nbora mtu anunue kluger na sio harrier....watu wanafurahia vyenye iko inaweza kushika ,wendo kwa haraka ila wanasau kuwa stability yake njian sio poa. Sio gari za kununua kama unapenda mbio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me ninayo ni VVti engine 2400cc, Petrol namb CCL
Kilomita 78,000
Ina Screen Mbili, Na main ambayo ni tablet ina tumia internet, Wifi, Bluetooth Na mtungi mkubwa Nyuma.
Sport rims.
Ina tumia mafuta Kidogo...!
Haijawahi
Bei ya kawaida tu..
Nipo Pugu, Dar es salaam.
0746 785 704/ 0657 230355 zote natumia kwa whatsup, Calls na Msg.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bei gani?

Jr[emoji769]
 
Biashara ya magari ni ujuzi ambao wengi hawana

Jr[emoji769]
 
Be forward wanaziuza Fea sana hizi Gari M 15.970K CIF ya TANGA unaandaa ML 20 chuma kinakua Road lakini ukienda Showrooms za Bongo kuanzia M25-29

Ref No BG160346

Chassis #ACU35-0001781

Model Code UA-ACU35W

Find parts for this model code

Version / Class 240G L PACKAGE

Engine Code 2AZ

Mileage 94,599km

Engine Size 2,360cc

Registration Year * 2003 / 3

Manufacture Year **2003 / 3

Ext. Color Pearl

Wheel Drive 4wheel drive

Transmission Automatic

Location YOKOHAMA

Steering Right

Fuel Petrol

Seats 5

Doors 5



 
Ninayo na mimepanga kwenda nayo Mbeya from Dar na Kurudi nipite Dodoma ndo nirudi Dar mwezi wa nne. Kwa comments za watu humu inabidi nitembee not more than 100Km/h maana nitakuwa na familia. Honger Mshana Jr kwa bandiko lako.
Better not exceed 100km/h na kama unafamilia nashauri....NASHAURI......GO 70-90Km/h... Niamini mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi na bmw na naenda 200km/hr na gari haipepesuki ni imara barabarani
Weeeeee Tz hii hii !?? Barabara gani!?Ya kutoka wapi kwenda wapi!??? Na jamaa wa kukubetisha vikaratasi vya overspeed kwa tsh 30000 fine bill wapo wapi wakat wewe unatembea 200km/h????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii gari nzito sana kwenye kuovertake na high speed cornering

Sent using Boeing 737-MAX 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…