Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Kuna gari zinachanganya haraka. Kuna siku nilitoka pale Terminal one hadi nafika hapo jet nina 160kph(wakati huo hapo hamna traffic lights) ilikuwa usiku naendesha Verossa.
Siku ingine nimetoka mataa ya chang'ombe hadi nafika hapo Sigara nina 160kph. Ukipata sehemu imenyooka km 2-3 gari nzuri za Europe 200kph sio issue
 
Mimi na bmw na naenda 200km/hr na gari haipepesuki ni imara barabarani
Hakuna barabara TZ unaweza kuendesha hizi spidi.....Hizi spidi ni za wenzetu huko Ujerumani na kwingineko ulimwenguni ambapo njia zao zina mpaka Six lanes upande mmoja...

Kwa miundo mbinu ya TZ ukiweza kiendesha 200/kph naamini hauta dumu na mwendo huo kwa zaidi ya dakika 3.....ndiyo maana maximum speed recommended kwa nchi yetu ni 80/kph kulingana na miundo mbinu....kona za hapa na hapa, mara punda anavuka...bumps za hapa kwa hapa...malori bila kusahau tochi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipande ukitoka kabuku kuelekea njia panda ya handeni nilishawahi kutembea 210 na BMW na pia Mombo ukienda Same

Jr[emoji769]
 
Naaam GX110 ndio gari ya safari...unatembea 180 na bado gari inadai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipande ukitoka kabuku kuelekea njia panda ya handeni nilishawahi kutembea 210 na BMW na pia Mombo ukienda Same

Jr[emoji769]
 
Mie pia ni mlevi wa Magari, najua KAMA umemaanisha kuchanganya fasta NAAKUBALIANA NA WEWE, sababu huwa nakuwaga na safar za usiku kwenda korogwe, na ninauzoefu huo wa kujua gar inayachanganya haraka ILA HILO LA KUFIKA MWENDOKASI WA 200Km/h KWA HAPA BONGO, USIWAONGOPEE WATU HUMU WAKAJA Kupigwa mi tochi na fain juu au kuhatarisha maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weekend mbili zilizopita nilikuwa Tanga. Nimeenda usiku na siku narudi nimetembea usiku. Nafikiri unajua usiku hamna tochi. Sio kila usichojua hakipo.
 
Ukweli ni kuwa huwezi kushikilia mwendo huo kwa muda mrefu. Ila unafikisha. Mbona hapa hapa Dar tu usiku tunatembea hadi 160kph.....kuna gari dakika chache mshale unalala
 
Ukweli ni kuwa huwezi kushikilia mwendo huo kwa muda mrefu. Ila unafikisha. Mbona hapa hapa Dar tu usiku tunatembea hadi 160kph.....kuna gari dakika chache mshale unalala
Gari zenyewe hizo za Toyota.......fuatilieni kwa makini baadhi ya magari ya toyota ...hovyo sana....mshale unalala160kph lakini kiuhalisi lipo 120

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…