Nafuu hata umeunga hoja yangu mkono...watu wanbisha kuwa hilo halipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafuu hata umeunga hoja yangu mkono...watu wanbisha kuwa hilo halipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ogopa sana gari ya zamani lakini ina low mileage.... Au gari za kushukia Mombasa na Tanga na Zanzibar... Gari zinazotoka Dubai... Nyingi zimechezewa speedmeterSasa hapo kosa la mjapan ni nini kama odometer mmechezea wenyewe wabongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa HP hizo kwa babywalker zinanitosha saaaana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa HP hizo kwa babywalker zinanitosha saaaana
.Siku nikihitaji mambio nitajichanga nihamie Fuga
Sent using Jamii Forums mobile app
Dear Nissan, I am begging you not to stop the production of this monster FUGA.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Jr[emoji769]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dear Nissan, I am begging you not to stop the production of this monster FUGA.
Wale wa Toyota mtanisamehe....yaani toyota naziona zimekaa kitapeli tapeli kama mademu wa kibongo[emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio 0-100 speedometer inasoma sawa, ikiwa above 100kph inaanza kudanganya? Ha ha ha yaani gari iwe 120kph speedometer inionyeshe 160kph nisione tofauti? Labda nimejifunza gari siku hiohio.Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota
Yes, I have nissan note....tofauti ya nissan na toyota ipo sana tu...tena sana coz nina experience na magari haya ya kampini hizi mbili tofauti.....
Tofauti nyingine nissan huwezi ukaiokotea spea huko mwembeni kama toyota utegemee ita-survive
Sent using Jamii Forums mobile app
TumekusameheDear Nissan, I am begging you not to stop the production of this monster FUGA.
Wale wa Toyota mtanisamehe....yaani toyota naziona zimekaa kitapeli tapeli kama mademu wa kibongo[emoji12][emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haDaah mwanangu mwaka wa ngapi sasa sijui unaulizia khs germany machines,we nunua tu bob maana kama ni ushauri ushapewa sana tu,unless mpunga uwe ni tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc Boeing 747....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu......
Shida hapa sio Mjapani bali ni tatizo letu sisi wabongo... Kurudisha kilometer nyuma... Ukishaichezea speedmeter lazima isumbue kwenye mwendo
Jr[emoji769]
hata mm nimekusamehe kwa kulinganisha Toyota na DatsunDear Nissan, I am begging you not to stop the production of this monster FUGA.
Wale wa Toyota mtanisamehe....yaani toyota naziona zimekaa kitapeli tapeli kama mademu wa kibongo[emoji12][emoji12][emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
kweli hapo speedometer huwezi danganya, huyu jamaa wa Morogoro anapiga kueleka Mvomero DakawaCc Boeing 747
Angalia hii video ya miaka michache nyuma kuna mchizi kafuta kisahani Mark X
Mwendo wa kifoCc Boeing 747
Angalia hii video ya miaka michache nyuma kuna mchizi kafuta kisahani Mark X
Mkuu tunatofautiana...wewe unaweza ukawa na knowledge ya kutosha kuhusu mashine unayoitumia....K
Kwahio 0-100 speedometer inasoma sawa, ikiwa above 100kph inaanza kudanganya? Ha ha ha yaani gari iwe 120kph speedometer inionyeshe 160kph nisione tofauti? Labda nimejifunza gari siku hiohio.
Hili ni tatizo la wengi sana... Hawajui chochote kuhusu magari zaidi ya kujua kuendesha tuuMkuu tunatofautiana...wewe unaweza ukawa na knowledge ya kutosha kuhusu mashine unayoitumia....
Kuna mwingine anakaa na gari miaka mitano yeye anachojua ni kuwasha, kuweka gia, brake na kuongozo usukani.....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vibebi wokaDaah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]
Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..
Sent using Jamii Forums mobile app
Datsun 120Y unaikumbuka? Ilikuwa CoupeDaah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]
Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..
Sent using Jamii Forums mobile app