Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Dear Nissan, I am begging you not to stop the production of this monster FUGA.

Wale wa Toyota mtanisamehe....yaani toyota naziona zimekaa kitapeli tapeli kama mademu wa kibongo[emoji12][emoji12][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
K
Kuleeee mwanzo kuna mtu alisema anweza kwenda na 160/kph sijui mtaa gani kule Dar....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu kwa magari ya toyota

Yes, I have nissan note....tofauti ya nissan na toyota ipo sana tu...tena sana coz nina experience na magari haya ya kampini hizi mbili tofauti.....
Tofauti nyingine nissan huwezi ukaiokotea spea huko mwembeni kama toyota utegemee ita-survive
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahio 0-100 speedometer inasoma sawa, ikiwa above 100kph inaanza kudanganya? Ha ha ha yaani gari iwe 120kph speedometer inionyeshe 160kph nisione tofauti? Labda nimejifunza gari siku hiohio.
 
....nikasema most of toyota zinadanganya kwenye speed hasa ikashafika above 100
Nimeshuhudia hili tatizo zaidi ya mara tatu......

Shida hapa sio Mjapani bali ni tatizo letu sisi wabongo... Kurudisha kilometer nyuma... Ukishaichezea speedmeter lazima isumbue kwenye mwendo

Jr[emoji769]
Cc Boeing 747
Angalia hii video ya miaka michache nyuma kuna mchizi kafuta kisahani Mark X
 
Attachments

  • VID-20190331-WA0009.mp4
    951.9 KB
K

Kwahio 0-100 speedometer inasoma sawa, ikiwa above 100kph inaanza kudanganya? Ha ha ha yaani gari iwe 120kph speedometer inionyeshe 160kph nisione tofauti? Labda nimejifunza gari siku hiohio.
Mkuu tunatofautiana...wewe unaweza ukawa na knowledge ya kutosha kuhusu mashine unayoitumia....
Kuna mwingine anakaa na gari miaka mitano yeye anachojua ni kuwasha, kuweka gia, brake na kuongozo usukani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tunatofautiana...wewe unaweza ukawa na knowledge ya kutosha kuhusu mashine unayoitumia....
Kuna mwingine anakaa na gari miaka mitano yeye anachojua ni kuwasha, kuweka gia, brake na kuongozo usukani.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tatizo la wengi sana... Hawajui chochote kuhusu magari zaidi ya kujua kuendesha tuu

Jr[emoji769]
 
Daah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]

Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah...naona wamiliki wa toyota port, willy, funcargo, passo, duet wameamua kuungana na kunishambulia mimi wa Datsun.[emoji39][emoji39][emoji39]

Anyway....tuendeleeni na tako la nyani..

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vibebi woka

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom