Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.

Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine

Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.

Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa

Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.

Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.

Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.

Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari

Jr[emoji769]

kuna mtu kalizwa na mshana jr.katoa wapi pesa ya kununua ndinga hiyo na kuja na uzi wa gari.
kweli 2019
lowasa kurudi ccm
jayd kurudi kukojozwa
msahana kuacha habari za uchawi kuja na hanasa za dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mambo mengi mda mchache
 
Kwny mashavu pemben ya bonet kwel ni plastic lakin hiyo ya kuvibrate engine ndo nasikia kwako, nissan iko strong sana af luxury
ibofwee X Trial Nissan si gari kabisa amini km uko nayo jaribu hilo bodi kusogeza niti ya kiberiti inayowaka (ni Plastic kabisa) ikichanika mpaka umuite fundi viatu
kwa mengine labda niseme Nissan x ina piston 4 lkn ina injini ina vibrate saa zote na hasa ukisimama
Harrier ina piston 6 lakini haina mitetemo kwenye injini wala bodi ina mwendo wa kusoot inayo mkubwa kuliko Nissan
Haria inatumia mafuta 5% kwa safari za mbali kuliko Harrier vivyo Mjini inatumia zaidi ya Nissan
kwenye Body na uimara wa magari haya tofauti zake fuatilia hii link
Comparison between Nissan X-trail and Toyota Harrier
Comparison between Nissan X-trail and Toyota Harrier

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK kwa barabara za Dar na parking finyu labda
namaanisha Off road na Milimani km Usangi, Kibosho, Matombo, mvuha hakuna Brevi's (Sedan) inapanda ila utatumia Harrier (SUV)
na ukija on tarmac tutakula pamoja , najua kila mmoja anavutia mnyama wake ma amakoishi,mm nipo Mvumi milimani
Hahah, sijawahi ona au kusikia mnyama kashindwa kupanda kilima, kumbuka mnyama ana 2 wheel na 4 wheel option (kama ulikuwa hujui), inshort mnyama hakamatiki, acha kubishana na ukuta
 
kuna mtu kalizwa na mshana jr.katoa wapi pesa ya kununua ndinga hiyo na kuja na uzi wa gari.
kweli 2019
lowasa kurudi ccm
jayd kurudi kukojozwa
msahana kuacha habari za uchawi kuja na hanasa za dunia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mambo mengi mda mchache
[emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hili jina mi nalifahamu toka mwaka 2010 kama sikosei na zilikuwepo pia carina/corolla kwa jina hili. Si jipya kama wengi wanavyodhani. Nmeshangaa kumbe kuna ambao hawakuwa wakiyajua magari ndo wamesiki siku za karibuni na wengine wanafikiri ndo wamelianzisha. Ni gari za kawaida udhaifu wake ni ule ule wa gari nyingi za toyota ambazo ni SUV. Ni nyepesi.so tukisema tuandikie nyuzi tutajikuta tunajaza server ya JF. maana Toyota zote ni nyepesi ukiacha chache ambazo ni Sedan na SUV chache.
 
Hili jina mi nalifahamu toka mwaka 2010 kama sikosei na zilikuwepo pia carina/corolla kwa jina hili. Si jipya kama wengi wanavyodhani. Nmeshangaa kumbe kuna ambao hawakuwa wakiyajua magari ndo wamesiki siku za karibuni na wengine wanafikiri ndo wamelianzisha. Ni gari za kawaida udhaifu wake ni ule ule wa gari nyingi za toyota ambazo ni SUV. Ni nyepesi.so tukisema tuandikie nyuzi tutajikuta tunajaza server ya JF. maana Toyota zote ni nyepesi ukiacha chache ambazo ni Sedan na SUV chache.
Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.

Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine

Jr[emoji769]
 
Ndo nmeshangaa mnaziita new model mimi nmeendesha kitambo sana tena VVTi anyway hilo jina nalifahamu miaka mingi sana sema tu siwezi litamka maana ni matusi. Ndo maana huwa mi nawaambia tu ni harrier 2nd Generation. Ila hilo neno lingine sisi watu wazima hatuwezi tamka halina maadili.

Hebu soma tena kwa makini nilichoandika

Jr[emoji769]
 
Kwny mashavu pemben ya bonet kwel ni plastic lakin hiyo ya kuvibrate engine ndo nasikia kwako, nissan iko strong sana af luxury Sent using Jamii Forums mobile app
kuna Ndugu yangu anayo hapo Dar anaisifi kwa kutumia mafuta vizuri lkn hiyo link niliyokuwekea ndio imeseama labda watu wa Harrier against XTRAIL
has maintained its box like shape over the years The suspension and road noises are well contained and they do not reach the cabin. But you may experience a bit of vibration from the engines especially when you are sitting in traffic.
Comparison between Nissan X-trail and Toyota Harrier
 
Hahah, sijawahi ona au kusikia mnyama kashindwa kupanda kilima, kumbuka mnyama ana 2 wheel na 4 wheel option (kama ulikuwa hujui), inshort mnyama hakamatiki, acha kubishana na ukuta
nakuaminia DA DON hakuna kigari nilikiogopa km kiBrevis au Mark X naviona viko chini, nimezoea kupanda milima lkn kwenye lami vinafyeka, kuna mahali nimeona vimeshuka hadi 6.5m (2002 Toyota Brevis in Dar Es Salaam ) nitajaribu huenda kanatulia barabarani, na heshima mtaani km kna 4WD kuliko matako ya nyani. nimeshawishika kujiunga na timu ya Brevi's)
1553075185951.png

TSh 6,500,000
2002 Toyota Brevis
Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam
 
In short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!
nakuaminia DA DON hakuna kigari nilikiogopa km kiBrevis au Mark X naviona viko chini, nimezoea kupanda milima lkn kwenye lami vinafyeka, kuna mahali nimeona vimeshuka hadi 6.5m (2002 Toyota Brevis in Dar Es Salaam ) nitajaribu huenda kanatulia barabarani, na heshima mtaani km kna 4WD kuliko matako ya nyani. nimeshawishika kujiunga na timu ya Brevi's)
View attachment 1049678
TSh 6,500,000
2002 Toyota Brevis
Kinondoni, Sinza Dar Es Salaam
Zimeshuka bei sababu watu wanakimbia mafuta! kuna jamaa alitoka Dar kwenda Dom nakurudi katumia laki 4 asubuhi yake kaitia sokoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimeshuka bei sababu watu wanakimbia mafuta! kuna jamaa alitoka Dar kwenda Dom nakurudi katumia laki 4 asubuhi yake kaitia sokoni
Sent using Jamii Forums mobile app
utagombana na wenyewe kina FRANCIS DA DON buree
nakushukuru kunishtua bora nibakie shabiki wa Harry el, Harry up moto chini
kwanza tairi yake tu kubwa inapopita iwe mtoni iwe milimani Land Rover , Discover, L/Cruiser Nissan P. Mitsubishi P Harrier anawachapa
uje kwenye sherehe kupark kubeba maharusi Harrier yupo
halafu Harrier zipo zenye cc 2160 ambayo ni ndogo kuliko SUV zote
 
magari ya kijerumani BMW, MERCEDEZ BENZ yana speed 260kmh- 360kmh, lakini husikii yanapiga mizinga, yametengenezwa kwa ubora wa hali ya juu tofauti na magari mengi ya kijapan ni KUBWA JINGA
ACHA UONGO gari za kijapan ndio zinasifika kwa kutumia mafuta kidogo na vvti tofauti na Benz au BMW ZINABWIYA mafuta na huku kwetu hazifai labda km wewe una kituo cha mafuta, tumeshasema kupiga mzinga ni dereva wala sio gari, itakuwa sasa ni unyoya unaopeperuka hovyo.
ukija katika kupendwa au kuuzwa Benz na BMW katika top 10 hazipo iwe Sedan wala SUV (Benz hata kwenye Top 20 haipo ila BMW ya 16 Top 20 Most Popular Used Cars in the U.S. - MotorTrend )
kwenye Best selling car in the world hizo gari hazipo hata kwenye Top 20 inayoongozwa na Corolla
1. Toyota Corolla. Natural disasters hurt Japanese carmakers, but the Toyota Corolla remains the best-selling car in the world, with 1.02 million copies sold.
 
Mshana yupo sahihi, sio bongo tuu, miaka ya nyuma hizi gari marekani ziliwahi rudishwa kiwandani, matatizo mfumo wa gear box, kweli ni gari zinazoongiza kwa ajali hizi harrier iwe tako la nyani au za zamani.
 
Kuna watu wanapinga tu hapa bila utafiti... Garage za wachina dar hukosi kuzikuta mbili au tatu

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom