Maoni yangu kuhusu Paul Makonda na Kigamboni

Kinga nini bna kikubwa ni succession plan tu iwe njema ndio itakuhakikishia usingizi wako mambo ya kinga huoni kilichotokea malawi
 
Wana Kigamboni msimpitishe mtu huyu tayari jumuiya ya kimataifa inamtuhumu kwa kupindisha haki za raia.
 
Nikusahihishe au kukuelewa tu kua sheria za nchi hii Spika wa Bunge sio lazima awe Mbunge.
 
Tunaolalamika nchi haindeshwi vizuri, malalamiko yetu ni vs individuals ktk uendeshaji, au mfumo mzima?

Kama ni mfumo, tusihadaike na huku kuangushwa individuals. Inaweza kuwa ni distraction tu, tuache kufikiria the bigger picture. Bashites wakitoka mfumo upo tu.

Tujihadhari
 
Makonda anawanyima Usingizi sana Mafirauni, Wauza Unga, Wasio na Marinda, Wazee wa Shisha, Wazee wa Kutelekeza Familia nk.
Kijana mwenzako kwanini umchukie badala tuombeane heri maana sote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu!
Kila lakheri Baba Keagan.
Madhila wanayopata WA upinzani imani yako inakuwa kama hivi?
 
Na bado.. Paukwa,, pakawa. Asanteni Kigamboni
 

Mkuu nashukuru sana na maoni yako, naomba uyasikie yangu na ninavyo fahamu mfumo unavyo fanya kazi: KINYUME KABISA NA NINYI WENGI MNAVOTOA MAONI YENU , KWA UFUPI HIVI NDIVYO ILIVYO.

Mfumo wa uendeshaji nchi kwa miaka mitano iliyo pita ndiyo system inavyo fanya kazi kwa usahihi. NUKUULIZE WEWE: Kipi ungependa , utakacho kitaka mfumo unakupa au kinyume chakae?

JEE UTAPENDA KUISHI NA KELELE: Mfumo wa leo umefanya Mkulu atawale bila kelele za distraction za wapinzani ?

UPINZANI UTASIKILIZWA TUU KAMA: Unasema kinacho sumbuwa wananchi, mafanikio wanayasema na kushangilia na siyo vinginevyo.

JEE WEWE UTAPENDA UNATAWALA : Lakini mazuri yote unayoyafanya yanafinyangwa kama vile hufanyi chocho ?

JEE UNAFURAHIA MBOWE AKIONYESHWA MLEVI: Naamini hautovumilia picha za Mbowe zinazo onyesha amelewa Mbwiiii na anaonekana kama mjinga fulani hivi.

Na hiyo ndio dunia, adui yako muombee mabaya au vitu visivyopendeza. NA HAYO NDIO MAISHA NA NDIO POLITICS.
 

Una akili ndogo, u spika.no
 
Wana Dar es Salam muwe makini na huyu jamaa kwasasa hana kazi yeyote.Isije mkasema sijawakumbusha wekeni vitu vyenu vizuri.Anaweza akajiajili kwenye kazi hatarishi ilimradi mkono uende kinywani.
 
Wana Dar es Salam muwe makini na huyu jamaa kwasasa hana kazi yeyote.Isije mkasema sijawakumbusha wekeni vitu vyenu vizuri.Anaweza akajiajili kwenye kazi hatarishi ilimradi mkono uende kinywani.
Nakazia pia bila kusahau lile angalizo la Secretary Pompeo
 
Hahahaha watanzania wana akili kwa sasa
 
Makonda anawanyima Usingizi sana Mafirauni, Wauza Unga, Wasio na Marinda, Wazee wa Shisha, Wazee wa Kutelekeza Familia nk.
Kijana mwenzako kwanini umchukie badala tuombeane heri maana sote tumeumbwa kwa mfano wa Mungu!
Kila lakheri Baba Keagan.
Kunywa maji ulale relax
 

Sijui ni kwa nini umekuja na extract hii ambayo in reality is very contradictory na dhana nzima tunayoijadili hapa.

Kuna kila dalili kuwa hujui tunajadili nini hapa....

Na ni wazi kuwa hujafuatilia mtiririko wa mjadala na wale tunajadiliana....

Well, nikukumbushe....

Mleta mada alikuja na mada hii 👇 👇👇
Response yangu ya kwanza ilikuwa hii👇👇👇

Tuliendelea kujibishana na wajumbe tofauti tofauti. Lakini hoja yangu na msimamo wangu haujayumba...

Lakini nashangaa wewe from nowhere unaleta hoja ambayo ni very irrelevant just because ndani ya maandishi hayo ya lugha ya kiingereza uliyoya kopi mahali fulani kuna maneno " law"kadhaa...

Nina hakika kabisa kuwa hata wewe huelewi hiyo "English Extract" uliyoipachika hapa imebeba mantiki gani ndani yake...

You just blindly copied it from somewhere kisha ukai - paste hapa bila hata kujua kama inahusiana na kinachojadiliwa kwa kiasi gani...

Hoja ya mleta mada ni rahisi. Inahusu watawala kujitungia sheria za kujilinda na kufunika maovu yao eti wasiwajibike kwa matendo yao.....

Hoja hii hata mtu wa darasa la pili anaweza kuielewa kwa urahisi na ku - argue kwa kupingana nayo kwa urahisi kabisa.....

Haihitaji hiki kitu ulichokileta kutoka kusikojulikana ili ku - brain wash watu na kisha ignorantly kuipachika kwenye mjadala isiyohusiana nayo...

Jibu la yote hayo ni hili;

Hakuna popote watu wanaweza kujitungia sheria za kujilinda na kufunika maovu yao eti wasiwajike kwayo.....

Natural principle inakataa. Natural principle inasema, kila mtu anawajibika kwa matendo yake ktk maisha yake...

Sheria hizo zisizoendana na "nature", zitawasaidia kwa muda fulani tu kama njia yao ya kujifariji lakini mwisho wa siku matendo yao mabaya yatawafuata mpaka ndani ya makaburi yao....

Yes, ukitenda HAKI utalipwa kwa HAKI yako....

Ukitenda UBAYA utalipa kwa UBAYA wako. No law on earth can protect your evil deeds....
Mkuu akirudi na hoja akaipangua hii ya kwako tafadhali nitag

BUSH BIN LADEN
Mimi siyo kama wewe bendera fuata upepo. Mimi natumia brain kufikiri. Kila kitu nakichunguza na lazima nipate majibu ya maswali haya; Who? What? Why? Where? How? & Which? ...

Jenga hoja ama pita zako tu kama hujui kitu

Nimemjibu. Wewe una maoni gani?

Kuna sheria duniani na mbinguni inayoweza kutungwa na mtu ama kikundi cha watu fulani kulinda uovu wao halafu wakati huo huo kuurithi ufalme wa mbunguni?

Najua huwezi kunielewa....
 
Napata taabu, unavyodhani sio kweli. Mimi ni muandishi kwa kiasi changu mzuri kwa kiingereza na kiswahili wengi tunapata taabu katika kuwakilisha.
Ila nimengundua wewe ni mbishi na samahani inawezekana you are non _ professional. Pole. Hapa nilitaka nipate mawazo yako wewe na sio kuzungumzia what i have pen down. Nafikiri inatosha mimi sijakuelewa na sinto kuelewa.

KUMBUKA NA FUATILIA HILI.

Mwaka 1995 CCM ilishinda uchaguzi Kigoma, Chadema wakaenda Mahakamani kupinga Matokea, na point yao kubwa ni kuwa Mbunge aliyeshinda wa CCM alikuwa ana matatiza ya urai mbali ya kuwa amezaliza Kigoma.

Chadema walishinda kesi hiyo, na Walid Kaburu akawa Mbunge, na ndiye aliyekuwa Mbunge wa kwanza wa Chadema Jimbo la uchaguzi la Kigoma Mjini.

FUATILIA KILICHOTOKEA.

CCM wakalipiza kisasi, idadi ya wanasiasa wengi wa mipakani wa Upinzani ambapo Sheria hiyo ilikuwa hawaishughuliki wakasafishwa kwa Upande wa Upinzani. Wahanga ni wengi pamoja na Jenerali Ulimwengu, Mawaziri na watu wengi walio watilia shaka wapo upinzani wakawa kwenye taabu kubwa. Jenerali Ulimwengu Mbali ya kuwa alikuwa Balozi wa Tanzania Algeria lakini wakapoteza Uraia wa Tanzania. Na kikwete ndio aliyewarudishia uraia huo.

BAADA YA KUSAFISHA NA KULIPA KISASI

Sheria ya uhamiaji imebadilika na kuruhusu watu wengi ambao kabla wangekuwa sio raia, Uraia wao ukahalalishwa. Kwa kuwa kwa kusomeka vifungu vya sheria vya Zamani seriously, hata Mzee Mkapa alikuwa sio Mtanzania.
Serikali ika halilisha Uraia wa watu wengi kwa mara mnoja na tunakisia 15% ya Watanzania kwa wakati mmoja wakawa Raia halali wa Tanzania.

Na kuanzia hapo kesi za kumshitaki Mtu kuwa sio raia wa Tanzania aliyekuja nchi hii kabla ya mwaka 1961 utasumbuka sana kushinda Mahakamani, tofati sana na sheria ya urai ya kikoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…