neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 727
- 2,421
amna treni pale. tembea. duniani amna uchafu ule tena.Kwa Watanzania hatunaga jema! Hata chupi za baba zao wanakosoa
Alafu utakuta upo Makundusi hata hiyo treni hauna ndoto ya kuipanda!amna treni pale. tembea. duniani amna uchafu ule tena.
Makundusi tena! FarufaruAlafu utakuta upo Makundusi hata hiyo treni hauna ndoto ya kuipanda!
I lived In UK , IN My SCHOOL YEARS BONGO NImeKUJA UKUBWANI TU.Alafu utakuta upo Makundusi hata hiyo treni hauna ndoto ya kuipanda!
Kabisahazifanani kabila na hizi
Wakina Nani hao?Makundusi tena! Farufaru
Ni vuzuri ukazingatia neno majaribio...Habari wakuu! Mm kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka dar to morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika morogoro, tafasiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa uongozi kufika morogoro ni mkubwa huko mbele, maana kitu kikiwa kipya efficiency yake ni kubwa tofauti kikianza kutumika ambapo efficiency mara nyingi hupungua, tofauti ya treni ya kisasa na mabasi itakuwa imepunguza foleni, lakini kwenye swala la muda naona sio kama tulivyoaminishwa!! Lakini yote kwa yote tunaipongeza Trc, serikali, vyama vya upinzani, na wadau wote waliopush hili jambo kufikia hapa,!
bila kumtaja magufuli uzi huu ni batiliHabari wakuu!
Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa uongozi kufika Morogoro ni mkubwa huko mbele, maana kitu kikiwa kipya efficiency yake ni kubwa tofauti kikianza kutumika ambapo efficiency mara nyingi hupungua, tofauti ya treni ya kisasa na mabasi itakuwa imepunguza foleni, lakini kwenye suala la muda naona sio kama tulivyoaminishwa!!
Lakini yote kwa yote tunaipongeza TRC, serikali, vyama vya upinzani, na wadau wote waliopush hili jambo kufikia hapa,!
Maana ya treni ya umeme ni nini? Ingia YouTube uangalieIkiwa tayari ni salama, kwenda moro kwa zaidi ya dk 90 ni hatari
Nadhani test at full capacity bado, why? Umeme wenyewe haueleweki. So nadhani ni suala la kuwapa muda tuone watakuja na nnHabari wakuu!
Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa uongozi kufika Morogoro ni mkubwa huko mbele, maana kitu kikiwa kipya efficiency yake ni kubwa tofauti kikianza kutumika ambapo efficiency mara nyingi hupungua, tofauti ya treni ya kisasa na mabasi itakuwa imepunguza foleni, lakini kwenye suala la muda naona sio kama tulivyoaminishwa!!
Lakini yote kwa yote tunaipongeza TRC, serikali, vyama vya upinzani, na wadau wote waliopush hili jambo kufikia hapa,!
Weka pichatreni yetu ya umeme ina mwonekano wa sura za vijana wa mikoani itakapokua inaenda,hii sio treni ya vijana wa Dar.