Maoni yangu kuhusu Treni ya umeme

Maoni yangu kuhusu Treni ya umeme

Angalia muonekano wa treni za ujerumani za mwaka 2000s na hizi sio bullet speed, ni hizi tu zinaishia 180 hadi 200kmh. si wangechukua hata haya mabehewa tu waboreshe kama wameshindwa?



re-regional-express-double-decker-passenger-train-germany-BX8EMP.jpg


halafu angalia the cheapest trains za KOREA ambako wameenda kuchukua, hata ukigoogle to the cheapest trains in korea inakuletea haya.


Korail_Mugunghwa-ho_Coach.jpg


korea sasa wao wanatumia hizi

itx-saemaeul-exterior.jpg




download (1).jpeg
3922541710_64c16712ce_o.jpg
 
kwa kifupi, audit ya pesa iliyotumika kununulia hizi train toka Korea inatakiwa kufanyika na tupate majibu, inakuwaje waenda koea watuletee mabehewa ambayo hayaendani kabisa na treni za kisasa? kwa kugha nyingine, icho kichwa unaweza kuchoimeka mabehewa ya taraza maisha yakaendelea. tunataka value for money kwenye hii kitu, wawajibishe, watanzania wengi huwa tunaletewa vitu vipya afu tunakuwa tumefumbwa macho, wasa na unaenda kijijini unanunua nguo ya bei ya chini kabisa lakini kwasababu ina rangi nzuri unawaambia wanakijiji umenunua kwa garama unabadilishana na ng'ombe mzima na wanakubali kwasababu ile nguo kwao ni kitu kigeni. kwenye hizi treni sio za kisasa, vichwa ni vya kizamani hata korea hawatumii hivyo vichwa, kama mmenunua mtumba semeni, muwe wakweli tutawaelewa tu.
 
Yote Tisa we ngoja uone nauri yake itakuwa ya anasa.
watakachofanya, watapunguza nauli ili mfurahi msahau kuwa mmepigwa kwenye manunuzi. wajanja sana. nauli iwe palepale juu ila tunataka maelezo value for money ya hizi treni.
 
Maana ya treni ya umeme ni nini? Ingia YouTube uangalie
nikafanye nin tena huko kwa kitu ambacho nakijua 🐒

nimekwambia hivi kwa design ya sgr ya Tz itakapothibitika kua salama kwa matumizi baada ya majaribio inatakiwa kutembea chini ya dk 90 dar to moro 🐒
Zingatia design 🐒

ikitembea zaidi ya dk 90 ni hatari lakini pia ni hasara 🐒

haiwez kua eti kwasabb ni ya umeme basi treni ikimbizwe tu, no haipo hivyo 🐒
 
at least hata kama hii tu ni ya ujerumani miaka ya 2000 huko, inaonekana ni ya kisasa walau, this is what we wanted Tanzania to be walau hata kidogo hata kama zile za hali ya juu kabisa hatuna hela. ila kutuletea mtumba wa kienyeji kabisa, au kwasababu wabongo wengi hawazijui hizi makitu? angalia wajerumani miaka ya 2000s
re-regional-express-double-decker-passenger-train-germany-BX8EMP.jpg

hivi kitu kama hii ingepita mle kwenye reli hata kama tumeibiwa, mbona watu wangefumba macho, ninyi mnapiga afu hata kudanganya mnashindwa?
 
ukweli usemwe, tunahitaji kujua pesa iliyotengwa, na hiki mlicholeta. huo mradi sio wa familia zenu ni wa Taifa, wa kwetu sote.
 
at least hata kama hii tu ni ya ujerumani miaka ya 2000 huko, inaonekana ni ya kisasa walau, this is what we wanted Tanzania to be walau hata kidogo hata kama zile za hali ya juu kabisa hatuna hela. ila kutuletea mtumba wa kienyeji kabisa, au kwasababu wabongo wengi hawazijui hizi makitu? angalia wajerumani miaka ya 2000s
View attachment 2918044
hivi kitu kama hii ingepita mle kwenye reli hata kama tumeibiwa, mbona watu wangefumba macho, ninyi mnapiga afu hata kudanganya mnashindwa?
Hizi pia zimeletwa, double decker zipo.
 
Habari wakuu!

Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa uongozi kufika Morogoro ni mkubwa huko mbele, maana kitu kikiwa kipya efficiency yake ni kubwa tofauti kikianza kutumika ambapo efficiency mara nyingi hupungua, tofauti ya treni ya kisasa na mabasi itakuwa imepunguza foleni, lakini kwenye suala la muda naona sio kama tulivyoaminishwa!!

Lakini yote kwa yote tunaipongeza TRC, serikali, vyama vya upinzani, na wadau wote waliopush hili jambo kufikia hapa,!
Nitatetea kigodo jambo hili pamoja na kwamba mimi huwa ni mkosoaji mkubwa wa serikali na ccm. Usitegemee katika majaribio treni ikaendeshwa kwa mwendo wake wa juu kabisa, hilo halifanyiki kwa sasa kwani ni majaribio na huwezi kujua nini kitatokea, ila baadaye naamini itachukua saa 1 tu kufika Moro.
 
Back
Top Bottom