Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
watakachofanya, watapunguza nauli ili mfurahi msahau kuwa mmepigwa kwenye manunuzi. wajanja sana. nauli iwe palepale juu ila tunataka maelezo value for money ya hizi treni.Yote Tisa we ngoja uone nauri yake itakuwa ya anasa.
nikafanye nin tena huko kwa kitu ambacho nakijua πMaana ya treni ya umeme ni nini? Ingia YouTube uangalie
Mkuu waonee huruma. ni sonona tu inasumbua.Kwa Watanzania hatunaga jema! Hata chupi za baba zao wanakosoa
Hizi pia zimeletwa, double decker zipo.at least hata kama hii tu ni ya ujerumani miaka ya 2000 huko, inaonekana ni ya kisasa walau, this is what we wanted Tanzania to be walau hata kidogo hata kama zile za hali ya juu kabisa hatuna hela. ila kutuletea mtumba wa kienyeji kabisa, au kwasababu wabongo wengi hawazijui hizi makitu? angalia wajerumani miaka ya 2000s
View attachment 2918044
hivi kitu kama hii ingepita mle kwenye reli hata kama tumeibiwa, mbona watu wangefumba macho, ninyi mnapiga afu hata kudanganya mnashindwa?
Nitatetea kigodo jambo hili pamoja na kwamba mimi huwa ni mkosoaji mkubwa wa serikali na ccm. Usitegemee katika majaribio treni ikaendeshwa kwa mwendo wake wa juu kabisa, hilo halifanyiki kwa sasa kwani ni majaribio na huwezi kujua nini kitatokea, ila baadaye naamini itachukua saa 1 tu kufika Moro.Habari wakuu!
Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa uongozi kufika Morogoro ni mkubwa huko mbele, maana kitu kikiwa kipya efficiency yake ni kubwa tofauti kikianza kutumika ambapo efficiency mara nyingi hupungua, tofauti ya treni ya kisasa na mabasi itakuwa imepunguza foleni, lakini kwenye suala la muda naona sio kama tulivyoaminishwa!!
Lakini yote kwa yote tunaipongeza TRC, serikali, vyama vya upinzani, na wadau wote waliopush hili jambo kufikia hapa,!
ππtreni yetu ya umeme ina mwonekano wa sura za vijana wa mikoani itakapokua inaenda,hii sio treni ya vijana wa Dar.