Kenya 2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

Kenya 2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

Kenya 2022 General Election

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis.

Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya.

Hatuna la kujifunza hapo!!

SAD BUT TRUTH
 
Kwa upuuzi mnaofanya kwenye chaguzi za hapa Tanzania hasa kipindi cha dhalimu, mnaona aibu hadi mnatamani Kenya yatokee machafuko ili mjustfy chaguzi zenu za kishenzi hapa nchini. Kiukweli kinachoendelea Kenya kimewaacha CCM na aibu na fedheha ya karne.
 
Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis.

Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya.

Hatuna la kujifunza hapo!!

SAD BUT TRUTH
Kuna kura zimekamatwa Kenya kwenye Begi kama ilivyokuwa jimbo la kawe??
 
Nyuzi zao naziona zimechachamaa, wanajifariji ila huu uchaguzi utafungua macho ya Watanzania wengi na wana Afrika Mashariki, nimeona hata Waganda wanafuatilia sana.

..tupo Watz tunaowaombea uchaguzi mzuri utakaowapatia viongozi bora.

..Tanzania inahitaji Kenya yenye amani, na mafanikio ya kiuchumi na kijamii.

..Wakenya ni ndugu, majirani, na watani zetu.
 
Back
Top Bottom