Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis.
Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya.
Hatuna la kujifunza hapo!!
SAD BUT TRUTH
Kuna kura zimekamatwa Kenya kwenye Begi kama ilivyokuwa jimbo la kawe??Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis.
Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya.
Hatuna la kujifunza hapo!!
SAD BUT TRUTH
Aah wapi. Acha kupotosha ewe mvua gambaAfrica ni Africa tu
..Ccm wanaombea Wakenya wapigane ili wapate point za ku-discredit mfumo wa uchaguzi wa Kenya.
Cc MK254
Nyuzi zao naziona zimechachamaa, wanajifariji ila huu uchaguzi utafungua macho ya Watanzania wengi na wana Afrika Mashariki, nimeona hata Waganda wanafuatilia sana.