Maoni yangu: Tundu Lissu agombee uenyekiti wa CHADEMA taifa

Mkuu sasa unasema awe mwenyekiti mpaka 2026 si udikteta?.....kwa mengine yana ukweli japo watakuita msaliti,pili Tundu si chaguo la ofisi kuu za mikocheni.
 
Mungu mtu kaanza kupinduliwa hahaha
Mtamtafuta mchawi
Wakati ni ninyi wenyewe wafuasi Vibendera
Msio jua kukosoa kila kitu ni ndioooo
 
Mkuu sasa unasema awe mwenyekiti mpaka 2026 si udikteta?.....kwa mengine yana ukweli japo watakuita msaliti,pili Tundu si chaguo la ofisi kuu za mikocheni.
Awe mwenyekiti kwa miaka 10 kupambana na fyoko fyoko
 
Mkuu sasa unasema awe mwenyekiti mpaka 2026 si udikteta?.....kwa mengine yana ukweli japo watakuita msaliti,pili Tundu si chaguo la ofisi kuu za mikocheni.

Kwanza Tundulisu anatokea wapi!?
Nikaribu na Moshi au Kilimanjaro?
 
Unamtafutia balaa wewe. Unataka ajenge bifu na Mtukufu Mwenyekiti ili afukuzwe uanachama? Unajua nini kilimuondoa Zitto Kabwe? Ama kilimuua Chacha Wangwe?
Wanajua ila kuwa Kibendera tatizo mkuu
MBOWE atoke kwenye kiti!!
Wasahau
 
Ninachojua katibu mkuu atakua Lau Masha,mkuu sekretarieti ya maadili Lowassa ili waweze kukata majina ya chadema asili wote waliobakia
 
Weeeeeeeh ajaribu aone anavoitwa msaliti na mtu wa kutumiwa na ccm... at list lidogo angekua anatoka kaskazin ingesaund... lakn hivi hivi ataitwa msaliti na mtumiwa na chama tawala kama ilivokua kwa zto na wangwee
 
NAONA NA WEWE UMENUNULIWA KUKIVURUGA CHAMA CHETU CHA CHADEMA. KAMA UMEPEWA PESA BASI ONDOKA CHADEMA TU KIMYAKIMYA.HATUKUBALI CHADEMA KUONGOZWA NA WATU NJE YA UKATA WA ARUSHA NA MOSHI

Tatizo hambadili fikra zenu upepo upo kwa lisu kwa sasa na siasa inataka hivyoe
 
NAONA NA WEWE UMENUNULIWA KUKIVURUGA CHAMA CHETU CHA CHADEMA. KAMA UMEPEWA PESA BASI ONDOKA CHADEMA TU KIMYAKIMYA.HATUKUBALI CHADEMA KUONGOZWA NA WATU NJE YA UKATA WA ARUSHA NA MOSHI
Wewe ni bonge la mnafiki! You should go to hell
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…