Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The cheapest of them all ni airtel, kwa mantiki wanakupa 30mbs kwa 110, voda ni 20mbps kwa 115, japo speed yao una stream 4k video bila shidaGHarama za router zimetofautiana mkuu ila vifurushi
Tigo 100k 20mbps (wezi)
Voda 115k 20mbps
Airtel 110 30mbps
Zama za janja zinaisha watu wana taarifa siku hiiz, sijui nan anawashauri huu wiziAhsante sana.
Tigo wakiona huu uzi wataenda lilia washroom.
🤣Kama taifa tunaelekea wapi? Sasa hivi ni saa 8 usiku mnene upo jamvin JF unachangia mada kweli hii ni sawa? Tendea mwili wako haki bana kuwa mfano mzuri kwa vizazi vijavyo kwa kupanua wigo mpana.
Nimekereka sana asee
Ukishalipia hio gharama ndo unafungiwa router au ni gharama ya kifurushi tu?
MkuuUkishalipia hio gharama ndo unafungiwa router au ni gharama ya kifurushi tu?
Ni Kwa muda gani?GHarama za router zimetofautiana mkuu ila vifurushi
Tigo 100k 20mbps (wezi)
Voda 115k 20mbps
Airtel 110 30mbps
Mwezi au siku 30Ni Kwa muda gani?
The cheapest of them all ni airtel, kwa mantiki wanakupa 30mbs kwa 110, voda ni 20mbps kwa 115, japo speed yao una stream 4k video bila shida
Naomba kukuuliza, hii spidi ya 10mbps kwa matumizi ya kawaida tu ya familia si inatosha kabisa? au ni slow sanaPackage ndogo ni 70,000 kwa 10mbps.
Inakidhi mahitaji | Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiberNaomba kukuuliza, hii spidi ya 10mbps kwa matumizi ya kawaida tu ya familia si inatosha kabisa?
Nilikuwa natukia router ya 5G ya Airtel nilipokujaa kulipia mara ya pili speed ilikuwa hovyo, ilikuwa mara kwa mara lazima nizime nieashe tena nikaachana nayo nikachukua ya Vodacom.Mimi ni mtumiaji wa 5G router zote Airtel,voda na Tigo.
Ukweli katika hizi router 3 mitandao ya ukweli ambayo naweza mshauri mtu atumie ni miwili tu.
Airtel na Vodacom.
Tigo ni wezi sio unlimited wanakupa unlimited kwa speed uliyolipia kisha wakiona unakamua kweli kweli bando kwa limit walokuekea wanashusha speed up to 0.1kb/sec.
Hii speed itakua hovyo mpaka saa 6 usiku ikibadilika siku wana reset wanakuoa tena speed yako. Ukiendelea kupakua matonge unabugia ukifikisha limit yao wanakata tena mpk kesho yake.
Dont go for tigo...kama unaipenda pesa yako. Kwa mnaotaka LIMITED PACKAGe speed yao iko njema.
Airtel
Hawa ni pure unlimited hawana janja janja unaserereka utakavyo ila tu router yao ili i perform vizuri hakikisha haipati joto, ikipata joto ikichemka inaathiri speed kwakua ofisini kuna AC huwa naitega sehemu ambapo najua itapgwa barid haswa naiongezea na fan inakua baridi muda wote.
Ina perform vizuri sana na zaidi ninachoipendea airtel ni power bank hao ya router inayokupa uwezo wakuzurura na router yako kwa begi anywhere.
Go for airtel,na recommend.
Vodacom
HAwa wako poa sana tena wana pure unlimited ila na wao router yao hakikisha isipate joto ila kuna muda notification light inawaka tu red ujue isha heat unachotakiwa ni kui zima na kutulia dk 1 unaiwasha tena unaendelea kuserereka.
Voda wako njema hawana shida go for it... wana router yao ya NOKIA tamu sana kali mnoo..
Faida ya voda kwenye malipo mwezi ukiisha huduma inaendelea hawakati huduma unaweza usilipe hata miezi mi 3.
Ila Airtel na Tigo mwisho wa mwezi ukifika huduma inazima kama umeme wa tanesco.
Airtel ukifanya malipo inawaka on spot.. tigo mpka uwasiliane nao sjui nn ki ufupi TIGO NI HOVYO.
Voda wao nao ukisubiri wakuzimie ukifanya malipo lazima upge simu wakuwashie ila airtel ni ukishajiunga tu unasererekA..
VODA na TIGO kipengele kwenye kuwashiwa huduma utapga wee hadi ukome.
..😂😂😂Kama taifa tunaelekea wapi? Sasa hivi ni saa 8 usiku mnene upo jamvin JF unachangia mada kweli hii ni sawa? Tendea mwili wako haki bana kuwa mfano mzuri kwa vizazi vijavyo kwa kupanua wigo mpana.
Nimekereka sana asee
Shukrani sana, nitawacheki hao voda au airtel. Tigo hapa nilipo inasumbua sana na huduma zao sio za kutegemea kabisa.Inakidhi mahitaji | Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber
Nimeona video, tajiri mmiliki wa Super feo, akieleza yeye analala masaa manne tu, na anamka saa kumi na moja.Kama taifa tunaelekea wapi? Sasa hivi ni saa 8 usiku mnene upo jamvin JF unachangia mada kweli hii ni sawa? Tendea mwili wako haki bana kuwa mfano mzuri kwa vizazi vijavyo kwa kupanua wigo mpana.
Nimekereka sana asee
Ilikuwa ni swala la kuingia kwenye settings tu, na kutatua tatizo:ilikuwa mara kwa mara lazima nizime nieashe tena nikaachana nayo
Naomba kukuuliza, hii spidi ya 10mbps kwa matumizi ya kawaida tu ya familia si inatosha kabisa? au ni slow san
Ilikuwa ni swala la kuingia kwenye settings tu, na kutatua tatizo:
1. Ondoa default settings Hiyo ya mwishoni: ( Default settings inaruhusu router kubadili network mode)
View attachment 3073429
2. Na badala yake weka: (Hapa tumezuia roter isitmie netwok mode zingine kama 4G zenye kasi ndogo)
View attachment 3073430
- Hapo kasi ya internet huwa haishuki. Hata kama signal bar imeshuka na kubakia 1 .
Kwa mwingine yeyote ajaribu na alete mrejesho.