Maoni yangu: Usiingie mkenge wa router za 5G za mitandao ya simu

GHarama za router zimetofautiana mkuu ila vifurushi

Tigo 100k 20mbps (wezi)
Voda 115k 20mbps
Airtel 110 30mbps
The cheapest of them all ni airtel, kwa mantiki wanakupa 30mbs kwa 110, voda ni 20mbps kwa 115, japo speed yao una stream 4k video bila shida
 
Kama taifa tunaelekea wapi? Sasa hivi ni saa 8 usiku mnene upo jamvin JF unachangia mada kweli hii ni sawa? Tendea mwili wako haki bana kuwa mfano mzuri kwa vizazi vijavyo kwa kupanua wigo mpana.

Nimekereka sana asee
🀣
Rafiki wa kweli aliyebaki ni simu
Hawa wengine tunawakaribishia dhiki tu
 
The cheapest of them all ni airtel, kwa mantiki wanakupa 30mbs kwa 110, voda ni 20mbps kwa 115, japo speed yao una stream 4k video bila shida

Napeta na Airtel kwa sasa Voda nimeituliza kidogo.

Naipenda airtel maana ni movable naitia kwa bag au back seat ya gari njiani ni upo tu duniani.
 
Kwa wale wanaopenda Limited packages, Uwe na Tin namba, nakuunganisha na Huduma.
 
Nilikuwa natukia router ya 5G ya Airtel nilipokujaa kulipia mara ya pili speed ilikuwa hovyo, ilikuwa mara kwa mara lazima nizime nieashe tena nikaachana nayo nikachukua ya Vodacom.

Kwa Vodacon na enjoy sana, ni 5G ya uhakika, download speed ni.nzuri sana tofauti na ya Airtel, ikibakia kama siku 5 nafanya top up ya 120,000 yenyewe ikifika siku yankuisha wanafanya malipo naendelea na huduma.
 
Kama taifa tunaelekea wapi? Sasa hivi ni saa 8 usiku mnene upo jamvin JF unachangia mada kweli hii ni sawa? Tendea mwili wako haki bana kuwa mfano mzuri kwa vizazi vijavyo kwa kupanua wigo mpana.

Nimekereka sana asee
..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeona video, tajiri mmiliki wa Super feo, akieleza yeye analala masaa manne tu, na anamka saa kumi na moja.
Inamaana tajiri analala kati ya saa saba, na saa nane.

Pia katika maelezo yake, tajiri hutenga muda wa masaa mawili, kwa ajili ya kupitia simu yake, kama kuna watu walimtafuta, ila hakuwasiana nao, na kupitia na kuangalia yanayojili kupitia mitandao.

NDIPO NIKAGUNDUA MASKINI TUNAJALI SANA USINGIZI, MATAJIRI WANAJALI SANA MALI.
 
ilikuwa mara kwa mara lazima nizime nieashe tena nikaachana nayo
Ilikuwa ni swala la kuingia kwenye settings tu, na kutatua tatizo:

1. Ondoa default settings Hiyo ya mwishoni: ( Default settings inaruhusu router kubadili network mode)

2. Na badala yake weka: (Hapa tumezuia roter isitmie netwok mode zingine kama 4G zenye kasi ndogo)

- Hapo kasi ya internet huwa haishuki. Hata kama signal bar imeshuka na kubakia 1 .

Kwa mwingine yeyote ajaribu na alete mrejesho.
 
Inategemea na unafanya nini, ila kwa nyumban kama wote mnatumia simu tu inaweza tosha, ila kama mnatumia kwa video streaming haitoshi!
Natumia vodacom ile ya 20mbps, inatoshea watu wanne wenye smartphone na tv na stream had 1080p ambayo ni almost hd.
Naomba kukuuliza, hii spidi ya 10mbps kwa matumizi ya kawaida tu ya familia si inatosha kabisa? au ni slow san
 
Ngojea nione
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…