Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 393
Nipo Zanzibar nimemleta Mtuhumiwa escort. Hawa jamaa wanapenda kupelekana Mahakamani
Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya
Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya
Roho mbayaEt kisasi ni haki wanasema hivyo
Wengi wao huwa hawana kazi za kuwabana muda.Nipo Zanzibar nimemleta mtuhumiwa escort awajamaa wanapenda kupelekana mahakamani aisie mi muislamu ila awajamaa wana roho mbaya
Kiukweli hawajamaa hawatupendiWengi wao huwa hawana kazi za kuwabana muda.
DuuhNipo Zanzibar nimemleta mtuhumiwa escort awajamaa wanapenda kupelekana mahakamani aisie mi muislamu ila awajamaa wana roho mbaya
Huwa wanabwabwaja kwamba tunawabana saa hizi kisiwa chao kingekuwa muruwa kama Dubai.Sijui ni Dubai ya visogo vyao?Sijajua.Kiukweli hawajamaa hawatupendi
Ukiwa unatoka bara kuwa makiniDuuh
Wanakupa kesi ya kubambika au?Ukiwa unatoka bara kuwa makini
SiwapendHuwa wanabwabwaja kwamba tunawabana saa hizi kisiwa chao kingekuwa muruwa kama Dubai.Sijui ni Dubai ya visogo vyao?Sijajua.
Mi AskariWanakupa kesi ya kubambika au?
Sentensi yako ni nyepesi na inaeleweka ila uhalisia siyo huo.roho mbaya ni hulka ya mtu haijalishi ni dini gani
KweliSentensi yako ni nyepesi na inaeleweka ila uhalisia siyo huo.
Hilo hawajali.Siwapend
Kumfanyia uchunguziAmefanya nini mtuhumiwa, au ndio wale wa tuma hela tutakutumia mzigo ?
Alafu wavivuHilo hawajali.
Kwahiyo unataka kusema dini inahusika?Sentensi yako ni nyepesi na inaeleweka ila uhalisia siyo huo.
uhalisia ni upiSentensi yako ni nyepesi na inaeleweka ila uhalisia siyo huo.