Maoni yangu: Zanzibar hapana!! Wanapenda kwenda Mahakamani

Maoni yangu: Zanzibar hapana!! Wanapenda kwenda Mahakamani

Wewe kweli ni punguani,

Ina maana hata ulichokiandika kwenye uzi wako hukikumbuki tena?

Soma hapa ulichokiandika,
''Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya'' hapa ulimaanisha nini? mtuhumiwa kufikishwa Mahakamani kuna uhusiano gani na dini ya mtu anayemtuhumu mtuhumiwa?
Njoo uku kichogo wew uone izo shobo kama wezako wanazo
 
Back
Top Bottom