Maoni yangu: Zanzibar hapana!! Wanapenda kwenda Mahakamani

Nipo Zanzibar nimemleta Mtuhumiwa escort. Hawa jamaa wanapenda kupelekana Mahakamani

Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya
Sidhani kama ni roho mbaya, ni bora hivo kupelekana mahakamani kuliko kusikia mara huyu kamuua yule, kamchoma kisu huyu. Na haya matukio ya kuuana yanatokea sana huku bara kwetu, sasa sijui kati ya kwenda mahakamani na kumtoa mtu uhai kipi bora.
 
Mi polisi
1-Uliua raia wangapi tarehe 29Okt-03 Nov 2025?
2-Ili kuonesha ufanisi kazini,umeshabambika watu wema kesi ngapi?
3-Vipi kuhusu unyang'anyi?Umeshadhulumu vingapi vya raia wema?
4-Kuhusu kujipendekeza kwa wakubwa kazini.Je,unaendeleaje na majipendekeza kwa wenye vyeo ili upande cheo au kufikiriwa nafasi nzuri au kupewa madili manono?
NB:Nilishaugua kifaduro utotoni.Usini-mind sana utachemka.🫸🫷😛😛😛😛😛
 
Niko fair sana Mzee
 
Zanzibar ukiingia kwenye anga za mtu, hakusamehi kirahisi. 🙌🏽
 
We jamaa ni mshamba , rudi kwenu ..Sioni hoja zaidi ya kupenda kusema wengine, mimi upande wa bibi mzaa baba ni wapare . Wanagombana viwanja mwaka wa 15 huu , watangulizi walishakufa ila watoto wanaendeleza .

Ujinga wanagomnbania huko Mkomazi ambapo eneo halifiki hata mil 5 , ila waanaendesha kesi mwaka wa 15, watangulizi walishakufa ila watoto wamevalia nyuga ..Wana roho mbaya ndio maana sipendi kujinasibu nao , hata mzee hataki huo upande wa mama yake .
 
Hii mbegu ya chuki ya uzanzibari na utanganyika naona inakua kwa kasi sana aiseee.......
Haya yote ni sababu ya mtu mmoja tu..😒
 
Nipo Zanzibar nimemleta Mtuhumiwa escort. Hawa jamaa wanapenda kupelekana Mahakamani

Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya
Huyo mtuhumiwa ulitaka apelekwe wapi zaidi ya Mahakamani ambako ndio haki hupatikana kwa mujibu wa sheria?
Halafu wewe sio muislamu,wewe Kafiri tunakujua vizuri sana,

Hivi si ndio nyinyi hua mnalalamika humu kila siku kua,mtu kama kafanya makosa afikishwe Mahakamani badala ya kutekwa au kupigwa? leo hii tena unalalamika mtuhumiwa kupelekwa Mahakamani!

Siku mkijua mnachokitaka ndio utakua mwanzo wa mabadiliko.
 
Ukiwajua hawakusumbui ,kila sku nakueleza huyu ni aina ya wale watu wa hovyo ...Jambo kama hilo eti analaumu zenji , mwizi akipigwa wanalaumu .

Hapo anataka waporipori wa bara waje kuongea maneno ya chuki .
 
Mtu mwenye akili zake timamu hawezi kulaumu kwa mtuhumiwa kufikishwa kwenye chombo cha sheria kama Mahakama.
 
Sikushangai maana akili finyu
Mimi na wewe nani mwenye akili finyu?

Unalaumu mtuhumiwa kufikishwa kwenye Court of law?

Nimekuuliza,ulitaka mtuhumiwa apelekwe wapi ili wewe ndio uone kua ni sahihi?

Najua kua lengo lako kuu la kuleta huu uzi ni chuki ya udini,ndio maana kwenye mstari wa mwisho ukajifanya kufake na kudai na wewe ni muislamu ili usionekane kua umeponda uislamu,
Issue uliyoileta hapa inareflect vipi na dini ya mtu?
 
Akili zako finyu dini imetok wap njoo uishi huku utaona kama dini Yako itasaidia watakutenga ivyo ivyo
 
Wewe kweli ni punguani,

Ina maana hata ulichokiandika kwenye uzi wako hukikumbuki tena?

Soma hapa ulichokiandika,

''Mi muislamu ila hawa jamaa wana roho mbaya''

Hapo ulimaanisha nini? mtuhumiwa kufikishwa Mahakamani kuna uhusiano gani na dini ya mtu anayemtuhumu mtuhumiwa?
 
Back
Top Bottom