Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
Samahani Numbisa sijataka kukuudhiMkuu soon utakuwa kwenye ignore list yangu. Sikuja JF kutafuta wanaume. Visingizio vya kindezi vya oooh usichukulie JF serious naonaga ni kujikosha kosha kutaka kuonekana jambo ni jokes wakati unamaanisha. Ni nyuzi nyingi nimekwepa huo unaouhisi utani the so called jambo la kawaida ila haukuweza kujiongeza so sad.