MAONO: Baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Dkt. Tulia Ackson. Mbingu zimeridhia na dunia itapokea

MAONO: Baada ya Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Dkt. Tulia Ackson. Mbingu zimeridhia na dunia itapokea

TaiPei

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
572
Reaction score
608
Pokeeni Maono yangu haya na wekeni kumbukumbu sahihi,

<<<<<< Tumsikilize kidogo Rais ajae >>>>>>

Huyu ndiye Rais wa awamu ya saba 2030-2040 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mungu amsimamie na ampe afya njema Kwanini ni yeye aliyemchagua.

Nafahamu wanadamu nikiwemo Mimi nilitamani watu flani flani mmoja wao ndio awe rais wa JMT baada ya Dkt. Samia ila Ukweli ni huu ni Dkt. Tullia baada ya Dkt. Samia tunataka hatutaki haya ni matakwa ya Serikali ya Mbinguni.
 
Mungu apishie-mbalii
 
Attachments

  • Screenshot_20221025-080733_Facebook.jpg
    Screenshot_20221025-080733_Facebook.jpg
    166.3 KB · Views: 5
S-Tax nadhani naye anastahili pia PhD ya heshima; yule Waziri wetu wa Mambo ya Kimataifa. Muonekano wake tu huwa unanivutia natamani iwe hivyo, ila sasa sijui kwa vigezo. Nadhani kuna haja ya kumfikiria na huyo pia
 
Aisee! kwahiyo mtu akikuvutia tu unatamani apewe PhD ya heshima!!?? 😅 Kama nchi tutasogea kweli mbele?
 
Sababu? Wivu? Rais huwa anawekwa na Mungu. Mungu akiamua jambo huwezi kupinga
Kuna wengine, Mungu huruhusu ili tuuone ukuu wake.

"Huwashusha wenye enzi katika viti, na kuwapandisha wanyenyekevu"

Anawaacha wapae, wawatishe watu wote, waue, wateke, watese, halafu pamoja na ubabe wao, anawanyausha kama mchicha, ili kutuonesha kuwa Mungu hana ushirika na waovu.
 
Back
Top Bottom