Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Habarini za jioni ndugu zangu wakubwa na wadogo.
Moja kwa Moja niende kwenye lengo la Uzi huu.
Nimekuwa nikifuatilia moja ya kurasa ya mtumiaji wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ukurasa huo sitautaja kwa jina ila wenyewe unahusu kupeana ushauri, maono na kwa kiasi kidogo kutafuta mwenza awe wa ndoa au wa kumaliza haja za kimwili na kiuchumi.
Tangu nilipoanza kuufutalia, nimebaini mambo mengi lakini kwa uchache tu nimoena nitaje yafuatayo.
1. Ndoa nyingi zilizopo hai zinashida ndani yake ni kama vile watu wanaishi kwa maigizo kwenye maisha halisi.
2. Jamii yetu imeharibika kwa kiasi kikubwa, maana ndani ya mada zinazojadiliwa zinaleta majibu yanayotaja kukua kwa janga la ushoga na usagaji, umalaya uliopitiliza, ubakaji , usaliti na tabia mbovu nyingi tu.
Lakini kwa upande nwingine ukurasa huu unachichea mapenzi ya jinsia Moja kwa kupush agenda kwa namna Moja au nyingine hivi karibuni kumekuwa na matangazo ya uuzwaji wa uume bandia maarufu kama dildo na muuzaji amekuwa akiwahamasisha wamama kuchangamkia fursa na mengine mengi ila ningependa kuishia hapa kwa sasa.