Maono: CCM inaenda kugawanyika, wasipoangalia hawatainuka tena

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.

Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja

1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko

2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.

3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG

4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi

5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021

6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM

7. Karma

8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani

Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
 
ECFC63AA-CAC7-4938-B050-7769C679FE03.jpeg
 
Moyoni mwa walio wengi CCM ilikufa miaka mingi
 
CCM kuliacha kundi la SUKUMA GANG ambalo ni kundi la KIGAIDI Toka BURUNDI lilojivisha joho la kuwa wao ni wasukuma ndani ya chama chenu CCM na serikalini hicho ndiyo chanzo Cha kifo chenu watanzania halisi hatutakubali kuwapa dhamana tena
 
CCM siyo kila kitu. Tanzania itaendelea kuwepo hata bila kuwepo CCM. Kilichopo ni mazoea tu kwamba kila asubuhi jua linatokea mashariki basi tunafananisha na uwepo wa CCM.

Hapana.

Nyakati zijazo tunaweza kuwa na chama tofauti na jua likaendelea kutokea mashariki. Hakuna taharuki, maajabu wala miujiza.
 
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.

Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja

1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko

2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.

3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG

4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi

5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021

6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM

7. Karma

8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani

Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi

Hiyo namba 6, wananchi toka 2010 hawaitaki CCM, vyombo vya dola ndio nguzo yao pekee.

Hiyo paragraph ya mwisho, anzisha chama ili uzibe hilo ombwe boss.
 
Una Time Frame ?

Sababu ukisema hivyo eventually kila kitu kina mwisho (kwahio nothing new there)
NJOO na time framemot ya "maono" yako.
Bila hivyo huu ujinga wa kungojea mkono udondoke kama fisi hautawafikisha mbali.
Upinzani hauna hata viongozi wa kuaminika bali opportunists tu wenye kungoja fursa.
 
CCM kuliacha kundi la SUKUMA GANG ambalo ni kundi la KIGAIDI Toka BURUNDI lilojivisha joho la kuwa wao ni wasukuma ndani ya chama chenu CCM na serikalini hicho ndiyo chanzo Cha kifo chenu watanzania halisi hatutakubali kuwapa dhamana tena
Hii ndio Hatari Kutengeneza Chuki kwa makisio Hewa
hao Sukuma gang ndio kinanani muwataje
Mnaiharibu nchi kwa kuzusha Ujinga
 
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.

Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja

1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko

2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.

3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG

4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi

5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021

6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM

7. Karma

8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani

Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Wewe ni WA kwanza kumwombe mtesi wako asianguke, bila shaka ni mtesi mwenzio🤸
 
NJOO na time framemot ya "maono" yako.
Bila hivyo huu ujinga wa kungojea mkono udondoke kama fisi hautawafikisha mbali.
Upinzani hauna hata viongozi wa kuaminika bali opportunists tu wenye kungoja fursa.
Unajua kabisa majira ya anguko yapo mlangoni. Njia ya kuyaepuka nimeshaweka hapo kwenye post ya mwanzo.

Muda huu mtaanza kusikia jina la Ndugai kuanza kutumika kama cheche za magma inayofukuta.

Sipo ndani ya vilinge vyao vya kuiharibu nchi bali nipo mlimani naona yote yafanyikayo chini
 
Wewe ni WA kwanza kumwombe mtesi wako asianguke, bila shaka ni mtesi mwenzio[emoji1732]
Hapana
Maono siyo hatima bali ni angalizo la nini kinapaswa kufanyika kuepusha ghadhabu inayounguruma kama utungu wa uzazi
 
Back
Top Bottom