Maono: CCM inaenda kugawanyika, wasipoangalia hawatainuka tena

Maono: CCM inaenda kugawanyika, wasipoangalia hawatainuka tena

Siku ikiamua kuingia msituni maana sasa hivi haishindani na ccm tena kwani CCM imekufa, bali inashindana na vyombo vya dola.
Kigogo aliwashauri mkamtukana kumbe mkakati wa kigaidi ni wa muda mrefu mpo nao!
 
Kigogo aliwashauri mkamtukana kumbe mkakati wa kigaidi ni wa muda mrefu mpo nao!

Kwakuwa mmeamua kufanya ugaidi wa wazi,ngoja watu siku moja wawatokezee ndio mtacheka kichina. Elbashiri na Mugabe waliita sana wananchi wao magaidi, siku walingia mtaani ndio walijua nani ni gaidi.
 
Suala sio Magufuli au Mama Samia au Kikwete, ukweli tu ni kwamba deep down mioyoni mwa viongozi na wanachama wa CCM wanajua CCM imekufa, iko ICU chini ya uangalizi makini wa dola kwa maana ya serikali na majeshi yake. Vijana 80% hawaitaki na wazee ni wachache ki idadi. Kinakufa kwa sababu ya umri. Hakina jipya na kimejaa wezi wote. Cha msingi kama hawa wanaipenda Tanzania waende kwenye plan B. CCM inakufa wala si utani. Ipe miaka 15.
 
Hata mm naona ila kunakitu kinaumiza kichwa, hiv kwel tunachama mbadala?? Kwamba tukiamka tutajikuta tupo na chama ambacho siyo ccm??

Mwl nyerere aliwahi kusema nanukuu** upinzani wa kwel, utatoka ndani ya ccm, mwisho wa kunukuu.

Kwa maana nyingine siku ccm ikiamka imegawanyika kabisa walao ikawa 40% means hapo tayari utabili wa mwal utafikiwa Bila hvyo liccm nlikubwa mnooooo...
 
Mfumo wa ccm Mwenyekiti wa chama wa wakati huo ndie mmiliki wa chama.
Magufuli, and sukuma gang era yao ilishapita hawana effects kwenye chama.
 
Magu aliona jinsi watu walivyoichukia ccm ndio maana kwenye kampeni zake akawa anasema nichagueni mimi.
 
Kwakuwa mmeamua kufanya ugaidi wa wazi,ngoja watu siku moja wawatokezee ndio mtacheka kichina. Elbashiri na Mugabe waliita sana wananchi wao magaidi, siku walingia mtaani ndio walijua nani ni gaidi.
Ndoto ni nzuri lakini usiku ni mfupi!
 
Nilisikia sikia chama cha umoja (umoja party)sijui kimeishia wapi au wamekiweka kapuni???si ndio?

Walipima upepo, baada ya kuona tumewaambia ni chama kinachoanzishwa na ccm kwa uratibu wa Tiss, wakaona isiwe tabu imebidi wasitishe huo mpango Kwanza.
 
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.

Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja

1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko

2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.

3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG

4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi

5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021

6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM

7. Karma

8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani

Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
 
Karma !!
 
Katibu wa ccm Hai Ana sifa tofauti na waccm ninaowafahamu:-
1. Ni muongo 100%
2. Si msema kwa Kweli 75%
3. Anapenda chuchu kupitia kiasi
4. Hana uzoefu na ukatibu wa wilaya ndani ya ccm kaanzia kazi hiyo Hai.
5. Ni mla rushwa kupitia kiasi.
6. Ana maneno mengi kuliko vitendo
7. Ni katibu mchumia tumbo ambapo ni rahisi kununuliwa na upande wa pili
8. Kila wiki end ikifika anafiwa na anakwenda Tanga kwao na kuachia jimbo chadema.
9. Ni katibu mwenye uwezo wa kufanya vikao 9 kwa siku maeneo tofauti na watu tofauti bila kuandika agenda za vikao mwisho hakumbuki akichokiongea jana.
10. Ni katibu amvaye hana siri kila neno analiongea kila mahali padipo kujali usiri ya kazi za chama.
11. Ana tabia ya kuwakosoa viongozi wa ccm hadharani bila kuja uwepo wa viongozi wa serikali au watumishi wa umma.
12. Hana dira ya wilaya anayoiongoza hivyo hajajiandaa kukabiliana na Chadema 2025.

Ushauri:
1. Katibu wa ccm Mkoa wa kilimanjaro ukimya wako ofisini kwako bila kupiga hodi Hai kufuatilia mwendo mzima wa uchaguzi wa ccm Hai, maana yake unaliweka jimbo rehani.
2. Fuatilia mwendo mzima wa Katibu wa ccm Hai, ukizingatia ni mgeni Hai, ni mgeni kwa kuteuliwa kuwa katibu wa ccm wilaya na jimbo la Hai lilikuwa chadema miaka mingi na hiki ni kipindi cha uchaguzi ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom