Mwenyekiti mbowe aliliona hili zamani akaamua kutafuta makomandoo wamsaidie, mbona hukuungana nae kumsaidia?Siku ikiamua kuingia msituni maana sasa hivi haishindani na ccm tena kwani CCM imekufa, bali inashindana na vyombo vya dola.
Imebaki chadema tuu ndo iko hai. Hongereni kwa kuwa Hai.Moyoni mwa walio wengi CCM ilikufa miaka mingi
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Uko sahihi. Hatoweza kumaliza safari, katikati ya safari atangushwa na chama chake. Atakataliwa ndani na nje ya chama. Muha ajiandae.Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Soma kwa kuelewa.The moment umeanza taja Magufuli Kama Ni mtu wa maana ndo umeharibu
Soma kwa kuelewa.
Maono siyo mpaka yaje upendavyo wewe. Si unakumbuka mfalme Sauli alishakataliwa na Mungu? Lakini unakumbuka kilichomtokea yule aliyejimwambafai kwa Daudi kuwa yeye ndiye aliyemuua Sauli?
Ingawa hakumuua yeye, alidhani taarifa ile itampatia nafasi yeye na vizazi vyake kwenye ufalme wa Daudi, lakini akaishia kufyekwa kwa sababu alikiri kumuua Sauli ambaye tayari Mungu alishamkataa.
Siongelei mchanganuo. Nimeweka vitu ambavyo ni uhalisia. Hata shetani ana watetezi wake na wapo tayari kufa kwa ajili yake ilihali wanajua kabisaa shetani ndiye ibilisi
Unasahau kwamba Magufuli hakuwa kada kinda kinda wa CCM.Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
🤣🤣Tuiachie kazi, KarmaKwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
🤣🤣🤣kweliNina Haki ya ku comment, Magufuli ajaacha legacy yeyote ile zaidi ya uhuni! Ukitaka kuelewa mwangalizi Sabaya!
🤣🤣🤣🤣CCM kuliacha kundi la SUKUMA GANG ambalo ni kundi la KIGAIDI Toka BURUNDI lilojivisha joho la kuwa wao ni wasukuma ndani ya chama chenu CCM na serikalini hicho ndiyo chanzo Cha kifo chenu watanzania halisi hatutakubali kuwapa dhamana tena
Mwenyekiti mbowe aliliona hili zamani akaamua kutafuta makomandoo wamsaidie, mbona hukuungana nae kumsaidia?
Hata aliyekuzaa ni mwanaume?.Iam sick to my stomach na low lives wanaokashifu wanawake.Binafsi yangu bora niongozwe na zero brain Bashite kuliko kuongozwa na Mwanamke.
Kitekwe mara ngapi ndio ujue kimetekwa!Nakuhakikishia mtoa mada, hakuna mtu atakiteka chama.
Mimi nakishauri chama changu kipunguze kuwapa nafasi za uongozi watoto wa vigogo wa zamani kwani inatengeneza matabaka.
Jambo hili wananchi watalivumilia ila ipo siku watachoka na kwakweli itakuwa vigumu kuwazuia.