Siku kipara chako kikichakaa.Maono yako chadema itatawala lini!
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Maono yako chadema itatawala lini!
Moyoni mwa walio wengi CCM ilikufa miaka mingiKwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
NJOO na time framemot ya "maono" yako.Una Time Frame ?
Sababu ukisema hivyo eventually kila kitu kina mwisho (kwahio nothing new there)
Hii ndio Hatari Kutengeneza Chuki kwa makisio HewaCCM kuliacha kundi la SUKUMA GANG ambalo ni kundi la KIGAIDI Toka BURUNDI lilojivisha joho la kuwa wao ni wasukuma ndani ya chama chenu CCM na serikalini hicho ndiyo chanzo Cha kifo chenu watanzania halisi hatutakubali kuwapa dhamana tena
Wewe ni WA kwanza kumwombe mtesi wako asianguke, bila shaka ni mtesi mwenzio🤸Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Unajua kabisa majira ya anguko yapo mlangoni. Njia ya kuyaepuka nimeshaweka hapo kwenye post ya mwanzo.NJOO na time framemot ya "maono" yako.
Bila hivyo huu ujinga wa kungojea mkono udondoke kama fisi hautawafikisha mbali.
Upinzani hauna hata viongozi wa kuaminika bali opportunists tu wenye kungoja fursa.