Maono: CCM inaenda kugawanyika, wasipoangalia hawatainuka tena

Siku ikiamua kuingia msituni maana sasa hivi haishindani na ccm tena kwani CCM imekufa, bali inashindana na vyombo vya dola.
Mwenyekiti mbowe aliliona hili zamani akaamua kutafuta makomandoo wamsaidie, mbona hukuungana nae kumsaidia?
 

The moment umeanza taja Magufuli Kama Ni mtu wa maana ndo umeharibu
 
Uko sahihi. Hatoweza kumaliza safari, katikati ya safari atangushwa na chama chake. Atakataliwa ndani na nje ya chama. Muha ajiandae.
 
The moment umeanza taja Magufuli Kama Ni mtu wa maana ndo umeharibu
Soma kwa kuelewa.

Maono siyo mpaka yaje upendavyo wewe. Si unakumbuka mfalme Sauli alishakataliwa na Mungu? Lakini unakumbuka kilichomtokea yule aliyejimwambafai kwa Daudi kuwa yeye ndiye aliyemuua Sauli?

Ingawa hakumuua yeye, alidhani taarifa ile itampatia nafasi yeye na vizazi vyake kwenye ufalme wa Daudi, lakini akaishia kufyekwa kwa sababu alikiri kumuua Sauli ambaye tayari Mungu alishamkataa.

Siongelei mchanganuo. Nimeweka vitu ambavyo ni uhalisia. Hata shetani ana watetezi wake na wapo tayari kufa kwa ajili yake ilihali wanajua kabisaa shetani ndiye ibilisi
 

Nina Haki ya ku comment, Magufuli ajaacha legacy yeyote ile zaidi ya uhuni! Ukitaka kuelewa mwangalizi Sabaya!
 
Unasahau kwamba Magufuli hakuwa kada kinda kinda wa CCM.

Wana CCM walisema hakuwahi hata kuwa katibu mwenezi wa kijiji.

Na ndio maana Magufuli alijijenga zaidi kujitengenezea legacy iliyoshindwa kwa ubaguzi na ukabila wa wazi ( kuteua wa kwao kanda ya ziwa) na kuwatosa wenye chama.
Alijitenga na chama na kutengeneza wafuasi wake mwenyewe, kina Bashiru, na kununua wapinzani .

Nakuhakikishia mtoa mada, hakuna mtu atakiteka chama.
 
Reactions: Tui
🤣🤣Tuiachie kazi, Karma
 
CCM kuliacha kundi la SUKUMA GANG ambalo ni kundi la KIGAIDI Toka BURUNDI lilojivisha joho la kuwa wao ni wasukuma ndani ya chama chenu CCM na serikalini hicho ndiyo chanzo Cha kifo chenu watanzania halisi hatutakubali kuwapa dhamana tena
🤣🤣🤣🤣
 
Binafsi yangu bora niongozwe na zero brain Bashite kuliko kuongozwa na Mwanamke.
 
Mwenyekiti mbowe aliliona hili zamani akaamua kutafuta makomandoo wamsaidie, mbona hukuungana nae kumsaidia?

Hata Mugabe, Elbashiri nk walikuwa na jeuri waliyonayo CCM, yaliyotokea sasa ni historia?
 
Mimi nakishauri chama changu kipunguze kuwapa nafasi za uongozi watoto wa vigogo wa zamani kwani inatengeneza matabaka.

Jambo hili wananchi watalivumilia ila ipo siku watachoka na kwakweli itakuwa vigumu kuwazuia.
 
Yaani kuwa watoto wa vigogo inazuia haki yako kama wanakidhi vigezo vya kuwa viongozi?
Ningeelewa ungesema Chama chako kingehakikisha kwamba watoto wa vigogo wanapewa uongozi on merit.
Asiyestahili asipewe uongozi bila kujali ni mtoto wa kigogo au la.
 
I
Mimi nakishauri chama changu kipunguze kuwapa nafasi za uongozi watoto wa vigogo wa zamani kwani inatengeneza matabaka.

Jambo hili wananchi watalivumilia ila ipo siku watachoka na kwakweli itakuwa vigumu kuwazuia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…