kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,449
Kigogo aliwashauri mkamtukana kumbe mkakati wa kigaidi ni wa muda mrefu mpo nao!Siku ikiamua kuingia msituni maana sasa hivi haishindani na ccm tena kwani CCM imekufa, bali inashindana na vyombo vya dola.
Kigogo aliwashauri mkamtukana kumbe mkakati wa kigaidi ni wa muda mrefu mpo nao!
Hata mm naona ila kunakitu kinaumiza kichwa, hiv kwel tunachama mbadala?? Kwamba tukiamka tutajikuta tupo na chama ambacho siyo ccm??Suala sio Magufuli au Mama Samia au Kikwete, ukweli tu ni kwamba deep down mioyoni mwa viongozi na wanachama wa CCM wanajua CCM imekufa, iko ICU chini ya uangalizi makini wa dola kwa maana ya serikali na majeshi yake. Vijana 80% hawaitaki na wazee ni wachache ki idadi. Kinakufa kwa sababu ya umri. Hakina jipya na kimejaa wezi wote. Cha msingi kama hawa wanaipenda Tanzania waende kwenye plan B. CCM inakufa wala si utani. Ipe miaka 15.
Ndoto ni nzuri lakini usiku ni mfupi!Kwakuwa mmeamua kufanya ugaidi wa wazi,ngoja watu siku moja wawatokezee ndio mtacheka kichina. Elbashiri na Mugabe waliita sana wananchi wao magaidi, siku walingia mtaani ndio walijua nani ni gaidi.
Nilisikia sikia chama cha umoja (umoja party)sijui kimeishia wapi au wamekiweka kapuni???si ndio?
Kwa namna hali inavyoendelea ndani ya hiki chama kikongwe Afrika, ni dalili mbaya sana inayotishia uwepo wake ndani ya medani za utawala katika siku za usoni.
Kuna viashiria kadhaa vinavyopelekea mpasuko unaokuja
1. Kifo cha Magufuli namna kilivyotokea na mtiririko wa matukio baada ya kifo hiko
2. Juhudi kubwa ya viongozi ndani ya chama na serikali kuhakikisha wanazima legacy aliyoiacha JPM kwa kasi kubwa.
3. Uwepo wa wafia legacy za JPM waliopewa nickname SUKUMA GANG
4. Wahafidhina ndani ya CCM kuona si sahihi kuongozwa na mwanamke kama mkuu wa chama na mkuu wa nchi
5. Vita ya madaraka 2025 iliyoanza 2021
6. Wananchi kuonesha wazi kuanza kuichoka CCM
7. Karma
8. CCM Kuchokwa na mataifa makubwa duniani
Ni wazi kuna hali tete ndani ya CCM lakini Wapinzani wake wapo bize kuchafuana huku wakiacha ombwe la kukosekana chama mbadala kinachoweza kuaminiwa na watanzania kupeea dhamana ya nchi
Karma !!Katibu wa CCM wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ameharibu uchaguzi wa ndani kwa kuchukua fomu za wagombea wa Kata zote kabla hazijajadiliwa
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye...www.jamiiforums.com
Katibu wa ccm Hai Ana sifa tofauti na waccm ninaowafahamu:-Karma !!