Maono kuhusu muelekeo na upepo wa Maandamano 29/10

kama wakati lowasa anagombea ulikuwa sekondary basi haya mambo bado wewe ni mtoto sana na akama ndio akili zako nikimaanisha kama hujajipendekezza yaani hiyo ndio akili yako halisi basi elimu yako ni hasara kwa taifa
 
Ushaur maandamano yawe ya aman

Lengo la kuandamana ni usalama wetu raia kutekwa kuuliwa na serikal au polisi kutotilia mkazo hakuna kes hata moja wala uchunguz wa tukio la kutekwa kwa watu zaid ya mia mpaka sasa

Kiongoz wa maandamano hajulika. Yaan organizer inatakiwa ajulikane na yawe na mwanzo na mwisho yaana tunaingia barabaran kuelekea vituo vya polis kupaza saut wakomeshe utakaj na tukitaka mkuu wa polis ajiuzul maana ameshindwa kaz


Hapo hata ukikamatwa unakua na hoja t7naandamana sababu usalama wetu upo hatarin. Tunaulia sanaaa
 
Muachage kuichuria nchi wapuuzi wakubwa nyie. Lini mliona wananchi wakiandamana maandamano yenye ghasia kama kenya? Nyie endeleeni kujilia keki ya taifa peke yenu huku mkitetemeka kwa vitisho vya kuwepo maandamano yasiyokuwepo
 
kama wakati lowasa anagombea ulikuwa sekondary basi haya mambo bado wewe ni mtoto sana na akama ndio akili zako nikimaanisha kama hujajipendekezza yaani hiyo ndio akili yako halisi basi elimu yako ni hasara kwa taifa
Sawa , umepona Leo ?
 
Naelekea Ikulu muda huu.

Utaona picha yangu nakinywa chai chumbani kwa Samia
 
MAta*([ko yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…