Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko.
Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili 'zitatumika' kuzugia uchaguzi na tatu au nne zitakazobaki miamba itazipiga kuboreshea maisha yao ya ulaya na Marekani ziliko familia. Okay, najua km m400 au 500 hv zinaweza kutumika kuzugia kupinga matokeo ya 98% ya SSH.
Watz ni wepesi sana wa kusahau, na hii miamba ya tone-tone inajua hilo vizuri saaaana. Na inajua vizuri kuwa baada ya hatua kadhaa za kuzuga kupinga matokeo, plus kutoweka kwenda ulaya na Marekani; watz hawa watasahau kabisa kama kawaida yao. Hapo miamba itarejea tena na kuanzisha 'dondo-dondo' au 'ado-ado'.