Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Haya ndio maono ya 2025

Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea.

Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa ktk vyumba vya siri vya Taifa atakuwa amekabidhiwa karatasi ya siri kutoka ktk vyumba vya siri vya Taifa baruwa hii hakuna anaye ijuwa wala kujuwa kilicho ndani.

Ila baruwa hiyo itakuwa na mwandiko wa mwanadam. Ndipo itasomwa wenye nguvu watalia nakufuta machozi wenye imani ndogo watazimia nakukimbizwa hosp za siri za Taifa.

Baada ya hapo atachaguliwa mzee mmoja ambaye anaheshimima nakukubalika na chama kuja kuwataarifu kwa ufupi yaliomo ndani ya baruwa ya siri.

Namwisho Taifa litapewa Taarifa.

Je itakuwaje watu au mtu atakuwa hajaridhika na taarifa ya barua hiyo ndugu zangu tusali pasitokee jambo kama Hilo itakuwa huzuni kwa Taifa kwa kupindisha mausia yaliomo ndani ya hiyo white paper. Na Uzi huu utakuwa shahidi yakuwa Mungu yupo na anawatumia watu kupata siri ambazo hazipo ktk macho ya wanadam.
Usiache liombea Taifa.
Kumbuka the white paper 2025 will change history of Tz.

Update.
Connect with Bob junior Simba alie uwawa na madume wenzake
 
Unaandika kama upo Kisiwani Patmo!! Wewe ni Yohana?
Yohana wa Patmo hakumuua Ben Saanane

Huyu ni moja ya wauaji waliokuwa wanatumiwa na Mwendazake. Saivi kachanganyikiwa huamini kan Mwendazake aliyekuwa akimlipa kufanya ufedhuli hatupo. Kwa iyo amekalia ramli tu

Usimshangae sana ni msongo wa mawazo tu. Tu mshauri tu kuwa Samia ndo Rais wake Hadi 2030 na alikubali hilo
 
Wewe hujamfuatilia vizuri huyu mdau au hasira zako kwa mwendazake zimekutia upofu wa kifikra.

Jamaa alimuonya sana mwendazake siku zake za mwisho na kwa hakika alitabiri jambo baya litalikumba taifa letu kama kiongozi yule asingebadili muelekeo wake.

Wengi tulimpuuza lakini kweli utabiri wake ulitimia kama ulivyotimia kwa 8 clocks..
 
Yohana wa Patmo hakumuua Ben Saanane

Huyu ni moja ya wauaji waliokuwa wanatumiwa na Mwendazake. Saivi kachanganyikiwa huamini kan Mwendazake aliyekuwa akimlipa kufanya ufedhuli hatupo. Kwa iyo amekalia ramli tu

Usimshangae sana ni msongo wa mawazo tu. Tu mshauri tu kuwa Samia ndo Rais wake Hadi 2030 na alikubali hilo
Sina dam ya mtu awaye yeyote ktk uso wa dunia ila nimmoja ya watu ukinisikiza utaiponya nafsi yako maana Mungu amenipa uwezo wa ajabu sana.
Mbona husemi nilipo mwambia hayati JPM asikitaje kifo na yale yametokea some time....
 
Haya ndio maono ya 2025
Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea...
Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa ktk vyumba vya siri vya Taifa atakuwa amekabidhiwa karatasi ya siri kutoka ktk vyumba vya siri vya Taifa baruwa hii hakuna anaye ijuwa wala kujuwa kilicho ndani.
Ila baruwa hiyo itakuwa na mwandiko wa mwanadam. Ndipo itasomwa wenye nguvu watalia nakufuta machozi wenye imani ndogo watazimia nakukimbizwa hosp za siri za Taifa..
Baada ya hapo atachaguliwa mzee mmoja ambaye anaheshimima nakukubalika na chama kuja kuwataarifu kwa ufupi yaliomo ndani ya baruwa ya siri.
Namwisho Taifa litapewa Taarifa.
Ramli chonganishi.
 
Inaonekana unapumua kwa shida sana Chief.... Nikukumbushe kidogo Miungu wako unaweza kupata nafuu...piga goti na kuwaabudu

1641708821335.png
 
Back
Top Bottom