Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

Walikuwa wapi (Deep State/ Wazee wa Siri) mpaka ubinafsishaji unafanyika kiholela?

Walikuwa wapi kipindi nchi inaingia mikataba ya hovyo hovyo kila kona?

Walikuwa wapi kipindi uchaguzi unachafuliwa...tangu 2010, 2015 na 2020?

Mengi sana yamewashinda, ila kubwa kabisa wameshindwa vipi kuinfluence upatikanaji wa katiba mpya tangu 1992 mpaka sasa?
Wewe ndio unasema ila muda utakujuza
 
Kama wapo (Deep State) basi wajitathmini.

Mpaka sasa tushapigwa bao na Wazanzibari na ndo wanatutawala.

Uchumi uko mikononi mwa raia wa kigeni hasa Wahindi.

Raia wa kigeni ndo wana sauti kwenye serikali yetu, reffer to Rostam Aziz, Salim Bakhressa, Sai Seth nk kwenye utawala wa Tz.
Wasomali nao hawajalala na wanakimbia mwendo mkali (Bashe, Karia nk )..
Wachina nao wanakuja kwa kasi huku huku wakiwazalisha dada zetu bila akili nzuri, vitoto vya Kichina siku vikikua na kushika madaraka tutakuwa tumechelewa.

Tunakoelekea tutatawaliwa na raia wa kigeni na kuwa colonised directly.
Wewe ndio unasema ila muda utakujuza
 
hivi wazee wa siri wa mwenge wa Taifa bado wapo? Dady etuu yule (R.i.p) naona aliwachinjia baharini kilichompata ni hadithi hadi leo, Mama naona kawapa mtumbwi waendlee na safari ,hii Einchi ngumu aisee , ila tuacheni utani hii wazee wa siri wapo ukiwapinga kazi unayo
 
ahaahha,naona mmekata tamaa wenyewe,we mjinga sindio ulikuwa unasema Ndugai hawezi kujiuzulu,na Samia Hana nguvu ya kumlazimisha ajiuzulu, kwamba eti Nchi itachafuka!!

Ndugai kahamka asubui anakuta barua ya kuubwaga uspika ipo mitandaoni na katibu wa chama kashaijibu,na katibu wa bunge pia kashaijibu, Urais ni taasisi kubwa,zaidi ya Samia
Hakuiandika mwenyewe?
 
Haya ndio maono ya 2025

Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea.

Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo kachero wa siri ambaye amewahi kuwa ktk vyumba vya siri vya Taifa atakuwa amekabidhiwa karatasi ya siri kutoka ktk vyumba vya siri vya Taifa baruwa hii hakuna anaye ijuwa wala kujuwa kilicho ndani.

Ila baruwa hiyo itakuwa na mwandiko wa mwanadam. Ndipo itasomwa wenye nguvu watalia nakufuta machozi wenye imani ndogo watazimia nakukimbizwa hosp za siri za Taifa.

Baada ya hapo atachaguliwa mzee mmoja ambaye anaheshimima nakukubalika na chama kuja kuwataarifu kwa ufupi yaliomo ndani ya baruwa ya siri.

Namwisho Taifa litapewa Taarifa.
Ni ndoto nzuri.....tuombe uzima
 
Hao wazee na makachero wabobezi huoni unawachongea kwa makundi yenye tamaa ya madaraka, hao walio nguzo za taifa?
 
Kama wapo (Deep State) basi wajitathmini.

Mpaka sasa tushapigwa bao na Wazanzibari na ndo wanatutawala.

Uchumi uko mikononi mwa raia wa kigeni hasa Wahindi.

Raia wa kigeni ndo wana sauti kwenye serikali yetu, reffer to Rostam Aziz, Salim Bakhressa, Sai Seth nk kwenye utawala wa Tz.
Wasomali nao hawajalala na wanakimbia mwendo mkali (Bashe, Karia nk )..
Wachina nao wanakuja kwa kasi huku huku wakiwazalisha dada zetu bila akili nzuri, vitoto vya Kichina siku vikikua na kushika madaraka tutakuwa tumechelewa.

Tunakoelekea tutatawaliwa na raia wa kigeni na kuwa colonised directly.

Bro umesahau na waturuki nao haha
 
Back
Top Bottom