Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Wewe hujamfuatilia vizuri huyu mdau au hasira zako kwa mwendazake zimekutia upofu wa kifikra.
Jamaa alimuonya sana mwendazake siku zake za mwisho na kwa hakika alitabiri jambo baya litalikumba taifa letu kama kiongozi yule asingebadili muelekeo wake.
Wengi tulimpuuza lakini kweli utabiri wake ulitimia kama ulivyotimia kwa 8 clocks..
Na ndiye aliyetabiri mwenendo wa awamu ya tano kwa usahihi kabla