Uchaguzi 2020 Maono yangu juu ya Tanzania ndani ya miaka mitano ijayo

Hiyo scenerio ya kwanza ndiyo yenyewe, hiyo ya pili ni nchi ya kusadikika, Amini nakwambia jiwe walilolikataa waashi sasa limekuwa jiwe la msingi, naona kuna mtu atakaa madarakani for life, hakuna wa kumdhibiti tena, sio TISS wala JWTZ wala mahakama, na ole wake atakayejaribu kimpinga malaika,atakiona cha mtema kuni, kwanza si mmeoma uchaguzi ulivyofanyika pamoja na kufungiwa social media? Mambo ni magumu giza laja tujiandae kisaikolojia,
 
Uzi huu unatafakarisha sana , Scenario namba moja ni ngumu sana kwenda nayo maana matokeo yake yanaeleweka hata isipokiwa leo au kesho ,matokeo yake ni UASI au vikundi mbalimbali vya kujitenga

Scenario namba 2 , hii naikubali kwa 100%
 
Hata tulupofika hatujafika Buhati mbaya ni mipango ya kuanzia 2014, na 2015 ilikiwa ni utekelezaji wake wa kutawaliwa kidikiteta kwa miaka 10, japo watekelezaji wa CCM hawakujua kama mambo yatakuwa hivi , sasa 2020-2025 kuna Mabadiliko makubwa yatatokea , Mosi KATIBA MPYA ambayo itakuwa iko sawa na matakwa ya deep state

Pili, CCM kwa sasa inatumika tu , ili Deep state wakamilishe mipango ya kutengeneza vizuri nchi ,

Tatu, Vyombo vya Dola vitahitaji kujivua toka CCM na hapo kutatengenezwa chama cha mizania au vilivyopo sasa lakini mamlaka makubwa wanasiasa wataondolewa ili kuepusha vibaraka
 
Baadhi ya maamuzi yanayofanywa kwa maslahi ya taifa yanaweza yasiwafurahishe wote. Pia upinzani huu wa 1995-2020 ndio umeisha rasmi kwa scenario hiyo. 2020 kwenda mbele utazaliwa upinzani mpya ambao utaaminiwa na dola.
Upinzani unaoaminiwa na dola ni upinzani bandia.
 
Usiamini 100% hiyo ya 10 years limit.
 

Mkuu, vyombo vyote vya dola vipo chini ya Deep State.
 
CCM wametukosea sana kumpa madaraka ya juu kabisa mtu huyu! Anafanya mambo kwa mujibu wa akili yake inavompa na akili yenyewe sasa hapo ndipo kwenye mgogoro wenyewe yaani!
Magu hafanyi mambo kwa akili yake mwenyewe.

Anafuata ilani ya uchaguzi ambayo amekopeshwa.
 
CCM wametukosea sana kumpa madaraka ya juu kabisa mtu huyu! Anafanya mambo kwa mujibu wa akili yake inavompa na akili yenyewe sasa hapo ndipo kwenye mgogoro wenyewe yaani!
CCM haijawahi kuweka tangu 1995 , Marais wanawekwa kwa influences ya Deep states

Kinachofanyika ni utaratibu tu kuonekna jambo limefanyika , Siku Mfumo wakiichoka CCM ndio bye bye lakini ,na uchaguzi wa mwaka huu CCM hawana chao maana wao hawajamuweka Rais
 
Yaani ama mnaota, au mmeamua kuja na propaganda kujaribu kuzimua uovu uliofanywa na jiwe. Deep state yenyewe imeshalim amri kwa jiwe mbona!
 
Sasa tushike lipi bwana mchambuzi?
 
CCM wamejulishwa kuwa JPM anaendelea na mipango yake.

Kama wakumbuka uzuri JK na hayati BWM walikuwa hawaeshi kwenda mjengoni kujaribu kupooza lakini DS wakawa wanakumbusha umuhimu wa kuwa focused na ajenda zao.
 
Hili sio sahihi, na wewe pia unajuwa ukweli ni upi.
Off course anaweza kuwa na idea zake kama zile za alipokuwa waziri wa ujenzi lakini asilimia kubwa ya maamuzi yake anafuata mwongozo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…