Uchaguzi 2020 Maono yangu juu ya Tanzania ndani ya miaka mitano ijayo

Deep state inaweza kumtumia kiongozi yeyote kufikia malengo. Ni watu wa 'big picture', wako tayari ku overlook mapungufu madogo madogo kama kiongozi kupenda sifa, kupenda wanawake n.k. jambo la muhimu zaidi kwao ni maslahi mapana ya taifa.
 
Ngoja tuone ndoto sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…