Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Duniani SIRI hakuna tena, kila kitu kipo wazi hata na uliyemtumia meseji kapiga screen shot siku ukijisahau akuumbue.
Usiri ulikuwa unaepusha vitu vingi sana,(Walikuwa wanaumia wacache kuliko sasa hivi ukiweka SIRI wazi ndo inaumiza zaidi kuliko ungetoa habari kwa SIRI au ukaacha).
sasa hivi tunaona kila kitu ukikiweka wazi ndo unakuwa mtu mwema kumbe kuna faida ya baadhi ya mambo kuyaacha kama yalivo ili kuokoa group la watu. Nimegundua kuna watu wanashawishika kujaribu mambo baada ya kusikia jambo fulani nao wanatamani kuthibitisha.
unaweza kuona unatoa taarifa muhimu kwenye jamii kuponya kumbe unaenda kuvuruga na kuleta sintofahamu, kuna binadamu sio wepesi kupokea mambo kwahiyo inawachukua muda kiakili kutulia na kuzoea ,kuna watu mpaka sasa hivi hawajui (Ushoga nini /mapenzi ya jinsia moja yanakuwaje.
Nilikuwa kwenye moja ya group la WhatsApp mdada akawa anahoji sasa mwanaume na mwanaume wakioana wanazaa au inakuwaje?
Sikucheka ila nilisema afadhari, ila huyu jinsi ya kumpelekea elimu ni lahisi na angekuwa mtoto wa kiume angependa kujua au kujaribu. Uzuri wa mwanamke kuna vitu uwaga afuatilii na aviweki akilini ila mtoto wa kiume utataka hajue kulikoni.
Lengo la uzi huu nikukumbusha mambo haya tunayoyaona kwa leo sio kwamba ni mageni sema tu yameongezeka na pia yamekuja kasi kwenye nchi yetu kwakuwa haya mambo tumeiga nje. Na kitu kingine tumejikeep bize na mambo ya utafutaji tumesahau viumbe tulivonavyo na tunatakiwa kuvipa malezi mazuri ili kesho iwe njema kwao.
Maono yangu
• Wanawake wanaenda kuiongoza Dunia.
Hii imekaaje... iko hivi tuna vijana amabao wanalelewa na vijimama,kijana anayelelewa na mwanamke nae ni mwanamke aina ya kiume maana hana mahamuzi yeyote kwa mwanamke. Mwisho wa siku wanawake wanazidi kuongezeka mix wanaume wanaolelewa/kuolewa.
• Mashoga
Ushoga ni janga jingine ambalo wanawake wanalipa kipaumbele maana wanawake wengi wako na ukaribu sana na mashoga, mzazi wakike (single mother) hawana malezi mbali na kumwaribu mtoto wa kiume. Mtoto wa kiume inabidi alelewe kijeshi sio lele mama.
• Wakataa Ndoa
Wakataa ndoa ni miongoni mwavijana (mashoga) unapokataa ndoa unakengeuka maandiko kwa pande zote hata kama ukasema wewe ufuati maandiko mbona wapagani wanaoa we nani usiyekubali kuoa. Lete hoja inayokufanya husioe... mwisho vijana watajikita kwenye mapenzi ya jinsia moja.
Sababu gani mtu anatamani kufanywa au kufanya
Hapa nizungumzie anayefanya. (LHAHANA) huyu anayeenda kinyume na maumbile hana tofauti na mchawi mla nyama ya mtu.
HITIMISHO
Tujaribu kuwa na hofu ya M. Mungu kuna watu wanazama kwenye janga la ushoga kwa tamaa za mali(Utajiri) imani za kishirikina.
Asante naitwa Hemedyjrjunior.