Maono yangu kuhusu ushoga na jinsi ya kukomesha

nakumbuka kauli ya mdada mmoja alienishinda kipato kwa kua ana kaz nzur ni dem wang skatai na nmeshapanga nae meng ,,alinambia anataka kuja home kwa wazee nkaamuliza unakuja kwa ajili gani akanambia anakuja kuntolea posa... dahh salale nlijiskia vibaya sana kwakweli na nilihisi kama ni aibu kiupande wang ,,,vijana nawausia sana tutaften pesa maana saiv kuna mabint waliowahi kua na kazi zenye kipato kikubwa kua na confidence kuliko mm na ww ,,
 
Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato!

Mwanamke akishagundua mwanaume wake ana pesa huwa naye anabadilika anakuwa na dharau, si kwa wanawake wenzake hata kwa wanawaume.

Sembuse yeye ndiyo akikuzidi kipato?
 
Usioe mwanamke aliyekuzidi kipato!

Mwanamke akishagundua mwanaume wake ana pesa huwa naye anabadilika anakuwa na dharau, si kwa wanawake wenzake hata kwa wanawaume.

Sembuse yeye ndiyo akikuzidi kipato?
ni kweli mkuu ila maisha ya saiv yapo balance maana tukisema tuwakimbie wenye kazi ni ngumu,, maana na wao wanaitaj mwanamme kwa ajili ya ndoa na ukioa hawa goli kipa nayo pia wana changamoto zao ...
 
ni kweli mkuu ila maisha ya saiv yapo balance maana tukisema tuwakimbie wenye kazi ni ngumu,, maana na wao wanaitaj mwanamme kwa ajili ya ndoa na ukioa hawa goli kipa nayo pia wana changamoto zao ...
Kama upo tayari kuwaoa basi uwe na moyo wa kuvumilia dhahama zao!
 
Sijui kwann watu wengi wanapenda sana huu mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…