Maonyesho ya kimataifa ya sabasaba yafana sana. Kwa mara ya kwanza wafanyabiashara Wahindi wengi wa Tanzania wahudhuria, wanunua sana

Who is the f****ng dudu ley? Acha kuilaumu serikali kwa umasikini Wako piga kazi uondoe huo umasikini ulionao au unadhani chadema ndio itauondosha umasikini wako? Sonona inakutesa
Mimi naifadhili CDM tofauti na wewe unayetegemea kulipwa kwa propaganda kwa ccm. Sijui hata hivyo kwanini kuna vijana wanaisapoti ccm bado wakati umaskini umejaa. Jaribuni kuwa na akili vijana wa Tz.
 
Sera yetu ni kukusanya pesa kwa namna yoyote ile.

Asante kwa kutusikiliza.
 
Duh! haya basi, namimi pia nimeona waafrika wengi sana haijawahi kuonekana kitu cha namma hio.
 



Hii ni kauli ya kibaguzi, mbona Wasukuma huuwa hawahudhurii wewe umewaona wahindi tu??.
 
Nawashauri Tantrades wajiongeze kwa kuweka vibao kwenye junctions ndani ya viwanja kwa kuonesha majina ya mabanda yaliyopo kwenye mtaa fulani husika.

Kwa sasa ilivyo ni shaghala baghala Yani mtu ufanye kutumia uzoefu tu kwa wale wenye mabanda ya mahali pa kujirudia lakini kwa wale wanaobadilisha wananchi wanapoteza muda kwa kutafuta mabanda husika yalipo.

Unakuta mtu anaenda mwisho mbali kumbe Banda analotafuta kaliaacha mwanzoni.

Wekeni vibao kwa kila mtaa kwenye ile junctions kubwa ili kumsaidia mteja /mwananchi anapotaka kufika bila kupoteza muda.
 
Mimi naifadhili CDM tofauti na wewe unayetegemea kulipwa kwa propaganda kwa ccm. Sijui hata hivyo kwanini kuna vijana wanaisapoti ccm bado wakati umaskini umejaa. Jaribuni kuwa na akili vijana wa Tz.
Una udumavu wa hoja kudhani kuwa sababu sipo chadema Basi nalipwa, CCM chama kikongwe Tena chama dola Ina shida gani kupigiwa propaganda? Kinachotakiwa kupiga propaganda Ni chadema sababu Ni chama Cha mtaani tu na ndicho chenye shida ya kushika dola,sio CCM kimezaliwa Kiko madarakani,Basi wakulipwa kupiga porojo Mitandaoni Ni wewe.na kuhusu kuifadhili chadema inawezekana sababu kinaishi kwa michango ya wanachama,makato ya wabunge na ruzuku sio CCM inayomiliki vitega uchumi wa mabilioni, usipo tuliza akili na huu ukamanda wako(hata sijui ukamanda wa Nini maana hata jeshi la mgambo hamna)utakufa kwa sonona
 
Sasa kama mpo tangu kale kwanini mnawaogopa sana akina Mbowe na Lissu?
 
Sasa kama mpo tangu kale kwanini mnawaogopa sana akina Mbowe na Lissu?
Wa kuogopwa lisu? Acha masihara hao mbowe na lisu wako Jana na juzi mbowe yupo chadema toka enzi za mkapa lisu nae kajulikana enzi za kikwete waogopwe kwa lipi? Lisu atachuja Kama walivyochuja wengine walioitwa wapinzani Ni mwaka wake wa mwisho huu kusikia mwakani ataenda kulima alizeti singida(Kama atarudi lakini)
 
Mbona unawataja wahindi sana, kuna nini cha ziada?
 
Ngoja nikalale lakini endelea kufikiri; watu hawa mmewapiga, mmewavunja miguu. Mmeharibu mali zao, wamelazwa haspitali, mmewaziba midomo, dola mnayo mkononi, lakini mbona hamjiamini kabisa linapokuja suala la CDM?
 
Ngoja nikalale lakini endelea kufikiri; watu hawa mmewapiga, mmewavunja miguu. Mmeharibu mali zao, wamelazwa haspitali, mmewaziba midomo, dola mnayo mkononi, lakini mbona hamjiamini kabisa linapokuja suala la CDM?
Bora ukalale
 
Hivi zama hizi bado kuna watu wanaenda kwenye maonyesho ya saba saba?
Wanaenda kufanya nini?

Hizo vitu ni zilipendwa, kama wewe ni mshamba au una muda wa kuzurura ovyo basi huenda sabasaba ikakuhusu.
 
Kwa hiyo maonesho ya 77 yamefaana msimu huu kwa sababu ya wingi wa wahindi?! Hivi hii mentality ya kuabudu watu weupe sijui itakoma lini?!
 
Mleta maada,atakuwa ana matatizo,eiza ameshawahi kufanya kazi kwa wahindi,
 
Wahindi wakiwa wengi ndio kufana kwa maonesho au watu waendao kwenye maonesho wakiwa wengi na kununua bidhaa ndio mafanikio...
Ubaguzi wa kikabila na kidini utadumishwa hadi lini na fisiemu?
 
Kwa hiyo maonesho ya 77 yamefaana msimu huu kwa sababu ya wingi wa wahindi?! Hivi hii mentality ya kuabudu watu weupe sijui itakoma lini?!
Ni utumwa wa ubaguzi wa kikabila uliojengwa kitambo na umewafanya akiliccm wengi kuwa na akili mgando!! Kwao Masanja akinunua mashinr ya milioni tano hajanunua bado ila Prem Chopra akinunus popcorn za mia tano ndio habari..
Tunahitaji mapinduzi ya kifikra...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…