Una udumavu wa hoja kudhani kuwa sababu sipo chadema Basi nalipwa, CCM chama kikongwe Tena chama dola Ina shida gani kupigiwa propaganda? Kinachotakiwa kupiga propaganda Ni chadema sababu Ni chama Cha mtaani tu na ndicho chenye shida ya kushika dola,sio CCM kimezaliwa Kiko madarakani,Basi wakulipwa kupiga porojo Mitandaoni Ni wewe.na kuhusu kuifadhili chadema inawezekana sababu kinaishi kwa michango ya wanachama,makato ya wabunge na ruzuku sio CCM inayomiliki vitega uchumi wa mabilioni, usipo tuliza akili na huu ukamanda wako(hata sijui ukamanda wa Nini maana hata jeshi la mgambo hamna)utakufa kwa sonona