Mapadre acheni kuudhalilisha ukatoliki (padre aomba waumini wamchangie milion 90 anunue kluger ya kutembelea

Toa sadaka zako kwa yule Malisa gifted heart foundation anasaidia sana watanzania wagonjwa kupata matibabu ya magonjwa makubwa kwa masikini wasiojiweza kuliko kuchangia Hao jamaa magari wakachukulie mademu.
 
Kluger milioni 90? Au kuna toleo jioya silijui? Angeomba hata Rav4 basi..
 
Huyo Padre ahamie KILIMANJARO. Huko padre ni Kama mungu.

Anaogopwa na kila mtu.

Atapata hata milioni 200 muda mfupi tu. Huku mapadre wanaishi kifahari.
 

Acha kuongea au kutetea Utumbo wewe. Kanisa katoliki kulitoa msaada wapi? Ukiona wanatoa msaada ujue waumini ndio wanalazimishwa wachange ziende huko, sio kanisa litatoa kwny account yake.

Kama kanisa linataka kununua gari si kuna miradi Kibao ya kanisa iliojengwa na waumini haohao kama mashule ya seminari, hosptli, maukumbi ya harusi nk. Hizo fedha zinazo tokana na hii miradi ilitochangwa na waumini fedha zake hupelekwa wapi kwann usinunue hayo magari ya Anasa?

Ujenzi wa parokia na vigango vipya huchangwa na waumini. Sio hela itokanayo na miradi. Kanisa katoliki now days misa moja kuna sadaka zaidi ya 3. Ukija kwny ishu ya jumuia huko hadi sabuni za mapadiri manaambiwa mzichange. Kwahiyo imekuwa kama waumini ndiyo mradi bila huruma.

Swali ambalo la kujituliza, mbona wakt mapadre wa kizungu wapo hii mambo haikuwepo?
 
Kuna redio fulani ya dini nilikuwa nasikilliza juzi...mtumishi kwenye mahubiri kipindi cha nyuma alisema anapenda v8 na siku nilosikiliza tena nikamsikia anasema anapenda v8 atanunuaga tu au basi muumini amnunulie.... Kuna muumini akampa v8 zile za kuchezea watoto iwe mwanzo mwema kwa yeye kupata.

Wenzentu watumishi wana njia rahisi ya kukidhi mahitaji yao... Anakupa neno la kukugusq in return of sadako yako tena anasisitiza sadaka nono... Wewe toa ye atakuombea ukajibiwe siku usiyo ijua.

Watumishi wa saivi hata biblia ilisha tuonya.
 
Eeeh wakatoliki wabadilike tena? Kwan umeshajivua ukatoliki mkuu?
By the way, ulishamalizana na mamlaka ya maji ya Sengerema?
 
Zaka ni kwa masikini na yatima sio matapeli church
 
Mie muumini wa hili kanisa. Huwa naingia kanisani kabla Xmass imebakiza wiki mbili. Lishakuwa Saccoss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…