Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kluger milioni 90? Au kuna toleo jioya silijui? Angeomba hata Rav4 basi..Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki
Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza
Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo,
Kitu kilichonishangaza kwenye hiyo ibada ni pale padre alipoomba waumini tumchangie pesa kiasi cha milioni 90 kwa ajili ya kununua toyota kluger ya kutembelea
Padre hakuishia hapo bali aliendelea kwa kutoa utaratibu wa namna gani pesa hiyo itapatikana
Alitoa amri kila kigango kimchangie milioni 1 na pesa nyingine alielekeza namna zitakapopatikana infact nilijiskia vibaya sana na kujiuliza hv wakatoliki kweli tumefikia hatua hii?
Leo hii tena tarehe 10 nimeudhulia misa ya asubuh kwenye kanisa lilelile padre aliongea kauli yenye ukakas sana, kwamba baba paroko amemwagiza amchukulie kiasi cha milioni moja ambacho aliwaomba waumin wamchangie akiwa kwenye ibada siku za nyuma zilizopita
Niliposkia kauli hiyo nilitoka ndani ya kanisa na kuondoka zangu
Sasa swali langu linaenda kwa wale viongozi wa juu wa kikatoliki
Kwanini mmetufanya sisi waumini wenu kama major source of income? Au mnataka tusiwe tunakuja kusali?
Haya mambo kwenye ukatoliki yameanza lini mbona mnajidhalilisha
Na hiyo kluger ya milion 90 ni kluger gan au anataka range?
Tena kaongea kabisa kwamba ameongea na wataalam wa magar wakamshaur gar nzur inayofaa kwa mazingira ya kitanzania ni kampuni ya toyota na wakamshaur anunue toyota kluger ambayo wakampatia na bei tsh milion 90 wakatoliki badiliken mnatia aibu
Huyo Padre ahamie KILIMANJARO. Huko padre ni Kama mungu.Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki

Si asaidiwe kwa maombi?Kumsaidia mtumishi wa Mungu apate kausafiri nayo ni vibaya?
Acheni roho za korosho
Hakuna huo utaratibu na padre haruhusiwi kumiliki mali binafsi. Hapo imetumika lugha ya mafumbo aliposema gari lake anamaanisha "gari la parokia" . Wakati mwingine mapadre wakiomba kuchangiwa labda kwa 'mkono wa kwaheri' au sababu fulani, hiyo pesa huwa hawaitumii kwa matumizi binafsi bali utakuta wanapeleka kutoa misaada au wanapeleka kwenye shirika fulani na huwa hawasemi inabaki mioyoni mwao. Mfano kuna padre aliandika vitabu kadhaa kwa hiyo akaomba waumini wamchangie kununua hivyo vitabu ili apate pesa kidogo, Lakini kumbe baadaye ilijulikana ile pesa yote alipeleka kuchangia kituo maalum cha rehab.
Unampa hela, nae anazitumia kutembea na mkeoBora niwapatie watoto wa mtaani kuliko hao viumbe.
MobiaaaHuyo Padre ahamie KILIMANJARO. Huko padre ni Kama mungu.
Anaogopwa na kila mtu.
Atapata hata milioni 200 muda mfupi tu. Huku mapadre wanaishi kifahari.
Sio kuogopwa ni kutambua Kazi yake..na kumtia moyo...kaskazini huwa wanafanya kwa hiari...waumini kwa hiari yao ndo wanaji organizeHuyo Padre ahamie KILIMANJARO. Huko padre ni Kama mungu.
Anaogopwa na kila mtu.
Atapata hata milioni 200 muda mfupi tu. Huku mapadre wanaishi kifahari.
Kwa mwamposa ambapo sadaka inatolewa hata kabla ibada haijaanza?Hamia kwa Mwamposa
Eeeh wakatoliki wabadilike tena? Kwan umeshajivua ukatoliki mkuu?Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki
Miezi miwili iliyopita nilijumuika na waumini wenzangu kwenye misa ya asubuh ndani ya kanisa katoliki lililopo maeneo ya saint carol wilayani sengerema jijini Mwanza
Mamia ya waumini tulijumuika kwenye misa hiyo,
Kitu kilichonishangaza kwenye hiyo ibada ni pale padre alipoomba waumini tumchangie pesa kiasi cha milioni 90 kwa ajili ya kununua toyota kluger ya kutembelea
Padre hakuishia hapo bali aliendelea kwa kutoa utaratibu wa namna gani pesa hiyo itapatikana
Alitoa amri kila kigango kimchangie milioni 1 na pesa nyingine alielekeza namna zitakapopatikana infact nilijiskia vibaya sana na kujiuliza hv wakatoliki kweli tumefikia hatua hii?
Leo hii tena tarehe 10 nimeudhulia misa ya asubuh kwenye kanisa lilelile padre aliongea kauli yenye ukakas sana, kwamba baba paroko amemwagiza amchukulie kiasi cha milioni moja ambacho aliwaomba waumin wamchangie akiwa kwenye ibada siku za nyuma zilizopita
Niliposkia kauli hiyo nilitoka ndani ya kanisa na kuondoka zangu
Sasa swali langu linaenda kwa wale viongozi wa juu wa kikatoliki
Kwanini mmetufanya sisi waumini wenu kama major source of income? Au mnataka tusiwe tunakuja kusali?
Haya mambo kwenye ukatoliki yameanza lini mbona mnajidhalilisha
Na hiyo kluger ya milion 90 ni kluger gan au anataka range?
Tena kaongea kabisa kwamba ameongea na wataalam wa magar wakamshaur gar nzur inayofaa kwa mazingira ya kitanzania ni kampuni ya toyota na wakamshaur anunue toyota kluger ambayo wakampatia na bei tsh milion 90 wakatoliki badiliken mnatia aibu
Wapo na wengine... Nina rafiki yangu naye anachangia ndo maana nikasema sisi wengine tunachangia.Sema unachangia usijumrishe na wengine mkuu. Na huo sio ukristo.
Zaka ni kwa masikini na yatima sio matapeli churchKwa sasa kitu cha msingi kwa mkatoliki ni hiki:
1. Hudhuria Jumuiya ndogondogo
2. Hudhuria misa, toa sadaka 1 ile inayotakiwa.
3. Lipa vitu vya msingi tuu kama zaka na mavuno.
Takataka zingine zooote zinazokuja in the name of padre au paroko au askofu ACHANA NAZO.
Labda kama mchango ni kwa advantage ya kigango/parokia/jimbo hapo sawa unaweza changia lkn waweke reasonable amount.
Mie muumini wa hili kanisa. Huwa naingia kanisani kabla Xmass imebakiza wiki mbili. Lishakuwa SaccossNimeandika kwa masikitiko makubwa sana nikiwa kama muumin kindakindaki mkatoliki