Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nijuavyo kwa ufahamu wangu mapadre wa Rc wengi wao huhudumiwa hadi mwisho wa maisha yao,na hakuna watu wanaoishi maisha ufahari kama mapadre,Maisha yao ni raha mustareheHello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
Wao wanapokuwa hawawezi kabisa huwa wanahudumiwa na kanisa kwa kila hitaji lililo ndani ya nadhiri zake! hadi hapo atakaporudi mavumbini bila kukengeukaHello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
Ni kwel alaf baadh n wazinzi kinomaMi nijuavyo kwa ufahamu wangu mapadre wa Rc wengi wao huhudumiwa hadi mwisho wa maisha yao,na hakuna watu wanaoishi maisha ufahari kama mapadre,Maisha yao ni raha mustarehe
Mapadre wakikatoliki wao hawalipwi mishara wala mafao, wao ni wahudumu wa kanisa na kanisa linawahudumia mwisho wa maisha yao hadi kuzika' ndiomaana watawa wao na mapadre wakifariki hawazikwi na ndugu bali kanisa, na huo ni mkataba wa kiapo cha Roman catholicHello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
Mapadre hawana maisha magumu na hawategemei sadaka tu na michango makanisa wana miradi mikubwa tu mashule hospitali ufugaji hadi kilimo naHawalipwi mafao yoyote yale ya uzeeni! Ukishapokea Sakramenti ya Upadre, unakuwa umefunga ndoa na kanisa! Utatakiwa kuchunga kondoo wa Bwana maisha yako yote!
Ukizeeka kwa kiwango cha kushindwa kuendesha misa, utaenda kuishi kwenye nyumba maalum kwa ajili ya mapadre wazee. Huko mtapewa huduma zote muhimu. Na ukiumwa, Kanisa litakutibu mwanzo mwisho.
Mapadre hawalipwi mishahara! Isipokuwa tu posho ambayo hulipwa kila mwaka mara moja. Wakati nilipokuwa Mseminari, miaka mingi iliyopita, posho yao ilikuwa ni tsh. Milioni 1.5 kwa mwaka! Bila shaka kwa sasa itakuwa ni zaidi ya hapo.
Mapadre wa zamani walikuwa na wafadhili wao huko Roma - Italy na pia Austria (MIVA), ambao waliwatumia magari ya kutembelea na fedha kwa ajili ya kuanzishia miradi mbalimbali!
Ila kwenye miaka ya katikati kwa 90 na 2000, hawa wafadhili walipungua kwa kiwango kikubwa, na hivyo kufanya baadhi ya maisha ya mapadre kuwa magumu kwa kiasi chake.
NB: maisha ya USEJA ni magumu kwa Mapadri wengi! Maana wanakula vyakula vyenye mafuta, wanga na sukari nyingi! Sasa kinachotokea baada ya hapo, wanakijua wenyewe! Baadhi wanayamudu. Ila wengi yanawashinda.
Naamini ipo siku wataruhusiwa kuoa kama sisi Walei wao.
Mkuu una ndugu yako padre nini unataka ukachukue mafao!!Hello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
Hiyo miradi haipo kila sehemu/Parokia! Wapo Mapadre wengi tu wanaishi aina hiyo ya maisha. Na sikatai hicho ulichokisema.Mapadre hawana maisha magumu na hawategemei sadaka tu na michango makanisa yana miradi mikubwa tu mashule hospitali ufugaji hadi kilimo na
Sidhani kama kazi yao ni kuongoza misa tu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hivi ni kweri wanaruhusiwa kunywa pombe?? Au ni story tu!!Hiyo miradi haipo kila sehemu/Parokia! Wapo Mapadre wengi tu wanaishi aina hiyo ya maisha. Na sikatai hicho ulichokisema.
Na usisahau pia hao Mapadre nao ni binadamu kama sisi. Hivyo wana tabia za ubinafsi, kupigana zewnge/majungu, ukuda, nk.
Hello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
Wazinzi Ni Kama Slaa ambaye uzalendo ulimshinda, otherwise walioko ndani Ni watu Safi unless utuonyeshe dadako aliyezini na Padre.Ni kwel alaf baadh n wazinzi kinoma
Miaka ya zamani matajili wengi Uraya waliacha mirathi yao kwa kanisa. Hizi pesa zilisaidia sana kueneza dini Aflika. Ziliwezesha makanisa kujengwa, na kuanzisha miradi ya maendeleo kama maji safi, shule na hospitali.Hawalipwi mafao yoyote yale ya uzeeni! Ukishapokea Sakramenti ya Upadre, unakuwa umefunga ndoa na kanisa! Utatakiwa kuchunga kondoo wa Bwana maisha yako yote!
Ukizeeka kwa kiwango cha kushindwa kuendesha misa, utaenda kuishi kwenye nyumba maalum kwa ajili ya mapadre wazee. Huko mtapewa huduma zote muhimu. Na ukiumwa, Kanisa litakutibu mwanzo mwisho.
Mapadre hawalipwi mishahara! Isipokuwa tu posho ambayo hulipwa kila mwaka mara moja. Wakati nilipokuwa Mseminari, miaka mingi iliyopita, posho yao ilikuwa ni tsh. Milioni 1.5 kwa mwaka! Bila shaka kwa sasa itakuwa ni zaidi ya hapo.
Mapadre wa zamani walikuwa na wafadhili wao huko Roma - Italy na pia Austria (MIVA), ambao waliwatumia magari ya kutembelea na fedha kwa ajili ya kuanzishia miradi mbalimbali!
Ila kwenye miaka ya katikati kwa 90 na 2000, hawa wafadhili walipungua kwa kiwango kikubwa, na hivyo kufanya baadhi ya maisha ya mapadre kuwa magumu kwa kiasi chake.
NB: maisha ya USEJA ni magumu kwa Mapadri wengi! Maana wanakula vyakula vyenye mafuta, wanga na sukari nyingi! Sasa kinachotokea baada ya hapo, wanakijua wenyewe! Baadhi wanayamudu. Ila wengi yanawashinda.
Naamini ipo siku wataruhusiwa kuoa kama sisi Walei wao.
Hiki ni nini umeandika?Miaka ya zamani matajili wengi Uraya waliacha mirathi yao kwa kanisa. Hizi pesa zilisaidia sana kueneza dini Aflika. Ziliwezesha makanisa kujengwa, na kuanzisha miradi ya maendeleo kama maji safi, shule na hospitali.
Sikuhizi matajiri waaweza kuacha ilisi kwenye club ya mpira , au charity ya kutunza mbwa na paka. Kanisa linapitia changamoto nyingi sana.
Kuna mapadre wenye wito wa kweri, hawa wanakuambia kuliko aharibu uhusiano wake na Mungu ni kheri afe mapema kuliko kuukosa ufalme wa Mungu.