Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Ni mapokeo tu ya kanisa. Hakuna mafundisho ya moja kwa moja ya Mwenyezi Mungu ya kiwazuia Makuhani wake kuoa. Ingawa Mapadri wa Kikatoliki, mara nyingi hutumia mfano wa Mtume Paulo ambaye kimsingi hakuoa maisha yake yote!Mkuu unasema "Ipo siku wataruhusiwa kuoa"
Swali langu ni kwamba,
Kwani nani kawakataza kuoa? Je ni sheria ya Mungu au ni binadamu tu ndiye aliyewawekea huo utaratibu?
Nauliza tu kiroho safi ili nijue.