Ni mapokeo tu ya kanisa. Hakuna mafundisho ya moja kwa moja ya Mwenyezi Mungu ya kiwazuia Makuhani wake kuoa. Ingawa Mapadri wa Kikatoliki, mara nyingi hutumia mfano wa Mtume Paulo ambaye kimsingi hakuoa maisha yake yote!Mkuu unasema "Ipo siku wataruhusiwa kuoa"
Swali langu ni kwamba,
Kwani nani kawakataza kuoa? Je ni sheria ya Mungu au ni binadamu tu ndiye aliyewawekea huo utaratibu?
Nauliza tu kiroho safi ili nijue.
Ujue kanisa katoliki ni serikali kamili yani VATICAN, serikali ya VATICAN ina vyanzo vingi sana va kuingizia hela makampuni mabenki hata viwanda sehemu nyingi duniani, mbali na mirada hiyo USA na baadhi ya nchi za ulaya hutoa mamilon ya hela kuisaidia serikali ya VATICANMiaka ya zamani matajili wengi Uraya waliacha mirathi yao kwa kanisa. Hizi pesa zilisaidia sana kueneza dini Aflika. Ziliwezesha makanisa kujengwa, na kuanzisha miradi ya maendeleo kama maji safi, shule na hospitali.
Sikuhizi matajili wanaweza kuacha ulisi kwenye club ya mpira , au charity ya kutunza mbwa na paka. Kanisa linapitia changamoto nyingi sana.
Kuna mapadre wenye wito wa kweri, hawa wanakuambia kuliko aharibu uhusiano wake na Mungu ni kheri afe mapema kuliko kuukosa ufalme wa Mungu.
Kwa mtazamo wako.Sentenso yako ya mwisho ni mbovu!
Upadre = usejaKwa mtazamo wako.
Mkuu watoto wanasaidia nini au wewe mzazi wako unamsaidia nini kama sikumsumbua tu, sasa ukiwa na uhakika ukistafu utahudumiwa, ukiwa mgojwa utatibiwa ukizeeka utatunzwa vizuri na u kifa utazikwa, sasa hiyo mitoto ya nini tena? Ndio maana wazungu hawataki kuzaa kutokana na uchumi wao wanauhakika wa Khatma yao.Maisha ya kutokuwa na watoto,ni maisha ya upweke.
Ni kweli. Ila siyo Mapadre wote wanao fanikiwa kutekeleza hiki kiapo chao. Wapo baadhi hujiingiza katika mahusiano, kinyume kabisa na hicho kiapo chao cha useja!Upadre = useja
Mimi sio mkristu ni muislam, ila ujue moja tatizo la baadhi ya viongozi wadini wachache kujiingiza kwenye mambo kinyume na hadhi yao lipo sehemu zote, sasa ukisema yupo padre ana watoto huyo ni siri yake, au inwezekana ni mapadre wa kilutheran wao wanarusiwa kuwowa.Ni kweli. Ila siyo Mapadre wote wanao fanikiwa kutekeleza hiki kiapo chao. Wapo baadhi hujiingiza katika mahusiano, kinyume kabisa na hicho kiapo chao cha useja!
Na hili jambo siyo la siri hata kidogo! Wapo Mapadre wenye watoto, familia, walio kwenye mahusiano na wake za watu, wanafunzi, watawa, nk.
Hivyo badala ya kufanya kwa siri, bora wangepewa option! Wanaotaka kuoa waoe, na wasiotaka waendelee kuishi maisha ya useja.
Mapadre hadi kuzikwa wanazikwa na kanisa sembuse kuhudumiwa?. Mtu akishakua padre hata family yake haina haki ya kudai maiti yake, ni wa kanisa tu huyo hata awe mzee, mgonjwa, etc...Hello habari Ndugu Nina swali . Hivi mapadre wakikatoliki pale wanapokuwa wazee je wana mafao yeyote ya kuwasaidia kujikimu? Au je pale waumwapo wakati wa uzee wao ni Kanisa linatakiwa kuwahudumia ama inakuwaje! Au wanakuwa wanaishi wapi ?
Kwenye ukristo hakuna 'siri yake' mheshimiwa! Yaani Mapadre wanatakiwa kuishi maisha ya useja (ya kuto kuoa, au kukutana na mwanamke faragha)!Mimi sio mkristu ni muislam, ila ujue moja tatizo la baadhi ya viongozi wadini wachache kujiingiza kwenye mambo kinyume na hadhi yao lipo sehemu zote, sasa ukisema yupo padre ana watoto huyo ni siri yake, au inwezekana ni mapadre wa kilutheran wao wanarusiwa kuwowa.
Kasoro kitu kimoja tuMi nijuavyo kwa ufahamu wangu mapadre wa Rc wengi wao huhudumiwa hadi mwisho wa maisha yao,na hakuna watu wanaoishi maisha ufahari kama mapadre,Maisha yao ni raha mustarehe
Mkuu una ndugu yako padre nini unataka ukachukue mafao!!
Kuapa kuacha kipapa sio Jambo rahisi kivile.sikuhizi wanakua nao kwa siri mi nnamjua padri mmoja ana watoto wawili wakubwa tu mtaani.
Ila tatizo naskia ndo hawapigi mshipaMi nijuavyo kwa ufahamu wangu mapadre wa Rc wengi wao huhudumiwa hadi mwisho wa maisha yao,na hakuna watu wanaoishi maisha ufahari kama mapadre,Maisha yao ni raha mustarehe
Itabidi tumuulize Dr SLAA na CCM kwani Alikuwa PADRE kabla ya kuingia kwenye SiasaIla tatizo naskia ndo hawapigi mshipa
Kwani Dr Slaa ni msisiem tangu lini?Itabidi tumuulize Dr SLAA na CCM kwani Alikuwa PADRE kabla ya kuingia kwenye Siasa
Hata la nne A ulibahatisha tuMimi sikusoma kama wewe, nilifika dalasa la nne A