unataka hadi uambiwe biashara matangazoKama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.
Kama ada nipo library,kuna dada kakaa kwe kiti ila alivovaa mapaja yote na nguo za ndani vinaonekana,imebidi nihamie upande mwingine mana nimejikuta badala ya kusoma napiga chabo,hivi hawana macho wanaponunua nguo,nguo za disco unakuja nazo library.